JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ndugu wadau naomba mnipe uzoefu wa hivi vyombo kipi ninunue kati ya nilivyovitaja hapo juu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwenye soko la dunia, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa zaidi ya 40% kati ya July na December 2015 (fuatilia hapa http://moneyweek.com/prices-news-charts/oil/). kwa maana hii, bei ya rejareja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari wana Jf, Naomba msaada namna ya kuagiza gari na kampuni ya be foward nataka kununua Carina Ti Nina 10m sipo Dar es salaam. Natanguliza shukulani zangu kwenu
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Kwa kawaida jukwaa hili hutoa msaada. Leo naombeni mnisaidie mtaa au duka rahisi linalouza baiskeli za watoto kati ya umri wa miaka 3 hadi 12. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
TRA imesema kuwa mwisho wa usajili wa pikipiki hizo kwa hiari unaelekea ukingoni. Hivyo basi, amewaomba ambao hawajasajili wafanye hivyo mapema ili kuepukana na usumbufu wanaoweza kukumbana nao.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kampuni ya Yamaha Motors imefichua kwamba inaunda roboti ambayo itaweza kuendesha pikipiki ambazo hutumiwa kwenye mashindano ya pikipiki. Kampuni hiyo kutoka Japan ilionyesha mfano wa roboti hiyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenye Nissan punk linahitajika haraka,ila awe dar city0715378899
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Idadi ya majeruhi wa ajali za pikipiki wanaopelekwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) imeongezeka hadi kufikia 20 mpaka 26 kwa siku, sawa na asilimia 50 ya majeruhi wote wanaopelekwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Get ready for even lower oil prices August 24 NEW YORK Futures for a barrel of West Texas Intermediate crude fell below $39 a barrel early Monday -- a level not seen since 2009. Oil closed at...
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Jaman nina tatzo pikipiki yangu ni honda cc 70 tatizo haina nguvu na plagi inavuja mafuta msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WanaJF naomba msaada kujua bei ya gari Nissan Nivara hapa Bongo. Ni jambo la dharura sana. Tafadhali, nijuzeni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, baiskeli hii ilitembeaje?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Need help, Does an alternator spin the belt if its not working?
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Wakuu, Kwenye pita pita zangu, nimebahatika kupata pesa, nikaona sio mbaya na mimi ni ongeze foleni ya magari. Kimsingi nimeshaanza mawasiliano na watu wa beforward, ila kuna mdau kanitonya...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa Gari yangu aina ya colora G ina tatizo la kujipandisha Silence na kujishusha, nimejaribu kuwapelekea mafundi zaidi ya watatu lakini bado tatizo linajirudia, tumebadilisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tafadhali kwa mwanajamvi yeyote anayemfahamu fundi umeme wa magari aina ya NISSAN kutoka UK ani inbox namba zake tuongee naye.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam ndugu zangu. Naomba kuulizia uwezo wa hii gari katika kusafiri masafa ya mbali maana nimevutiwa na ulaji wa mafuta(1.6L ingine size) pia bei yake si mbaya (mfano gari ya mwaka 2000 inauzwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ushauri kuhusu hizi gari ni ipi bora kati ya hizo interms of durability, uimara na fuel consumption nataka nichukue moja kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa mjini na mizunguko yangu ya mikoani..
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hii ndiyo ultimate Machine kudadeki! Hii ngoma sio Mchezo! Wengi wetu tumezoea land cruiser 4*4 sasa hii mashine ni 6*6, yaani matairi yote sita (6) yanafanya kazi na mpaka sasa hivi tangu...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Back
Top Bottom