Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakuu, natumai mu wazima. Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani naombeni mnisaidie mguu wangu wa kushoto unawaka moto sana ni kma wiki tatu sasa hili tatixo lipo.nimetumia dawa ya kienyeji lakini tatizo bado linaendelea tu.naombeni msaada watalaam
0 Reactions
Replies
Views
Naomben kujua jee kuna uwezekano wa kuzuia ndevu na kama upo no njia au dawa gan zitaweza kuzuia ndevu..msaaada wa mawazo tafadhali?
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Habari wanaJF, Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
0 Reactions
15 Replies
9K Views
  • Redirect
Kama we ni muathirika wa puli na unataka kuacha mazima kama mimi baada ya kuona madhara yake,tujadili hapa njia mbadala ya kujitoa huku maana hili limekua janga watu wanapiga sana na dushe...
0 Reactions
Replies
Views
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu jamii Dr, Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa mtu anaejua ama kufaamu juu ya ugonjwa unaoitwa TRAOMA. Naomba anifaamishe au anijuze. Tena ikiwezekana aniPM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZAZI wengi wanatamani kuwa na watoto wenye afya nzuri kimwili na akili. Ili mtoto aweze kukua vizuri kiafya ana mahitaji mbalimbali kutia ndani lishe na mapumziko ya kutosha. Mahitaji ya Mtoto...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Chunusi sugu dawa nafuu msaada pls
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Innovative medics Dr Francis and his team at Muhimbili National Hospital in Dar es Salaam. Dar es Salaam. A few months after he was born, Abdul Mfaume suffered severe malnutrition and diarrhoea...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Wakuu natumai mu wazima kwa kudra za muumba. Siku chache zilizopita niliweka Uzi hapa jukwaani, nikiomba msaada wa ushauri ili tatizo langu la miguu kuwaka moto nipate namna ya kulitatua kwani...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wana, Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nnatatizo la kuumwa na tumbo na kuunguruma nmetumia dawa za minyoo but cjafanikiwa kutoa tatizo je tatizo n nn?????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama title inavyosema, nina mpenzi wangu tulishiriki tendo mwezi wa tano mwishoni baada ya siku 3 akaingia period, leo ananiambia hajaingia period amepima pregnancy test imeonesha ana mimba...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wana jf naomba kujuzwa juu ya hili. mimi huwa nikikaa mahali penye UPEPO, Au BARIDI likinipiga huwa tumbo linajaa gesi na kila kitu tumboni kinavurugika hadi nikienda chooni huwa naharisha. Huu ni...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Redirect
Wadau poleni na majukumu, Naombeni msaada, babu yangu anawashwa na mwili mzima mara kwa mara. Ameenda hospital nyingi pasipo mafanikio yoyote. Je nini inaweza kuwa sababu ya tatizo hili?
0 Reactions
Replies
Views
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake... "Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi...
0 Reactions
32 Replies
31K Views
  • Redirect
Wanajamvi naomba kuleta tatizo hili kwenu. Mimi nina ugonjwa wa mba tangu muda kama mwaka mmoja. Huwa unaisha kwa dawa za kupaka na kurudi tena baada ya muda. Pia nina mashilingi sio mapunye haya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali. Cc...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom