Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni baada ya kushindwa kulipa Tsh. 1,470,800. Aamua kurejea Mtwara. Kaburi lililochimbwa kwa ajili ya kumhifadhi marehemu lafukiwa. Pia soma > Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku...
21 Reactions
114 Replies
11K Views
Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Pamoja na janga, Lodges/Guest Houses 🏠 zinafurika Sana. Imagine jana nimezunguka gesti zaidi ya 9 Sinza kisha Tiptop zipo full. Stress release mechanism?
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, na sasa ndio makao makuu ya serikali, hivyo ofisi nyingi zimehamishiwa mjini humo. Kuna mkutano mkubwa wa CCM unaondelea mkoani hapo, mfanyabiashara karibu u...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth On interacting with her further I...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
MFANYABIASHARA aliyetajwa na Rais John Magufuli kuiibia serikali Sh milioni saba kwa kila dakika, Mohamed Yusufali na wenzake watatu wamesomewa mashitaka 506 ikiwemo kukwepa kodi na kuisababishia...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Watu wengi walioko kwenye ndoa wameshawahi kufanya uzinifu. Je, kama ulishazini ulijisikia furaha au kawaida tu? Je, ulisononeka kumsaliti mkeo au mmeo? Je, ulishawahi kumuomba msamaha mkeo/ mmeo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ilikuwa ni miaka ya 2005 ningali darasa la tano huko iringa vijijini (sitataja jina la kijiji)! Kutokana na hali ngumu ya maisha babu yangu alikua akijshughulsha na kilimo pamoja na kuuza nyanya...
1 Reactions
68 Replies
11K Views
David Concar ameteuliwa kuwa balozi wa Uingereza nchini Tanzania ambaye ataanza majukumu hayo Mwezi Agosti 2020. David Concar anachukua nafasi ya aliyekuwa balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika kijiji kimoja kusini mwa mkoa waSedhiou nchini Senegal, binti mmoja aitwayeFanta mwenye umri wa miaka 23 analiambiaShirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch kuhusu uhusiano wake wa...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi. Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu. Iweje...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Mamlaka ya NIDA imeorodhesha namba hizi kwaajili ya mawasiliano kwa sisi wateja wao wenye changamoto mbali mbali kutokana URASIMU wao; 0752 000058, 0677 146667, 0777 740008, na 0735...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli. Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu...
20 Reactions
97 Replies
6K Views
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar. Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna migahawa ya wa mama watu wazima kabisa namaanisha ni migahawa ya siku nyingi na pamoja na changamoto zozote yenyewe huendelea kuwepo tu tena katika mazingira yaleyale ya ki muonekano wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake...
46 Reactions
197 Replies
12K Views
Salaam zangu na wosia wangu uwafikie maaaskari Afrika ya Mashariki, ni salaam kutoka kwa Human Rights Defendant and Security Advisor Mr. Don Nalimison. Leo nataka tujifunze maana ya Askari na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Daa
0 Reactions
Replies
Views
Uwepo wa uhai ndio zalisho la maisha.. lakini kutafaa nini kuwepo kwa uhai bila shauku? Shauku ikilala hata mtazamo wa maisha hulala pia! Ni ngumu sana kumpigisha hatua mtu asiekuwa na shauku...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Redirect
Labda mimi tu ndo natafakari
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom