Twende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania iko kwenye ujenzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa maarufu kama SGR au mwendokasi. Hii reli imekatiza maeneo mengi kwa kuweka daraja za juu au chini na...
Mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana juu ya kile yanachokiita “orodha salama” kwa mataifa 14 ambayo yataruhusiwa kwa safari zisizo muhimu kuanzia Julai, huku Marekani ikiwa haimo...
Hapa nawaza hapo ni mpaka Kituo cha ITV kimeriport. Je, vijijini mbali huko wana hali gani?
Na kijijini kuna Mwenyekiti, Mtedaji, Mkuu wa Wilaya Walikuwa hawaoni, na huyo mtumishi waliempeleka...
Pamoja na Rwanda kurekodi visa zaidi ya 1000 ukilinganisha na visa 409 Tanzania, Rwanda yaruhusiwa kupokea watalii kutoka Ulaya.
Mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana juu ya kile...
Jeshi la Polisi mkoani Geita limewakamata watuhumiwa 54 kwa makosa mbalimbali, yakiwamo kukutwa na noti bandia za dola za kimarekani.
Aidha, watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na pombe haramu aina...
SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme...
Maana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa...
Tanzania kuna watu wanajua kubuni vitu hewa na kupiga pesa nakumbuka kuna mtu mmoja alikuja na dawa yake inaitwa Ngetwa .Kila kona ya wimbo ulikuwa ngetwa ngetwa maajenti walikuwa kila kona...
Kwa muda mrefu nimekua mteja mtiifu wa bidhaa zenu. Ila miezi ya karibuni kuanzia mwaka jana mmekua mnafanya mambo ambayo sisi wateja watiifu HATUWAELEWI. Mlianza na kulazimisha kila mtu kunywa...
Hi,
Kuna swali hili huwa najiuliza kuhusu ushirikina. Kwanini mambo mengi ya kishiriki na hufanyika njia panda. Unaambiwa labda kachote mchanga njia panda, au kwavunje nazi njia panda.
Kama ishu...
Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
Tanzania inabadilika sana kisiasa, kwa sasa ofisi za mitaa zote watawala ni Chama cha Mapinduzi
Ukitaka kuona umuhimu wa wapinzani tembelea wanakotawala hawa CCM, yaani ofisi zimekuwa adimu sana...
Kuna jambo lakusikitisha sana mpaka sasa.Tangia Corona ianze posta wamezui kutoa na kusambaza mizigo kwenda mikoani sababu ya korona
Watu wengi mnatuasili sana sana
Tunaomba posta makao Makuu...
Umoja wa ulaya umeazimia kupitisha azimio ambalo pamoja na wote wasumbukao na Corona wakiwamo USA, Brazil n.k, hadi pale hali itapobadilika vinginevyo, ni marufuku kutia mguu EU.
Kwa mtaji huu...
JE WAJUA?
Seneta Ernie Chambers, Seneta wa Nebraska Marekani mwaka 2008 alimshitaki Mungu mahakamani.
Seneta Chambers aliiomba mahakama itoe "ZUIO" la kudumu dhidi ya Mungu kufanya shughuli zake...
Siku hizi Radi hazipigi sababu zinaogopa Taa za barabarani. Kila kona kuna Taa za barabarani siku hizi hadi kule sumbawanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Nianze kwa kusema wazi!
Inchi yetu ipo kwenye mfumo wa "SOKO HURIA"
Inakuwaje kila Mara bidhaa inapoadimika Serikali inakimbilia kukamata Mali za wafanya biashara kwa (kupoka) kisa mtaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.