Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa...
5 Reactions
23 Replies
602 Views
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM. Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya...
16 Reactions
84 Replies
10K Views
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
8 Reactions
94 Replies
3K Views
  • Redirect
Huku wilaya ya Rufiji umeme unakatika sana sana,kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 30 ,sio uongo ni kweli kabisa,wanaoishi huku ni mashahidi Mimi ninaisha Nyamwage hapa lakini hii imekuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi...
20 Reactions
86 Replies
5K Views
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana...
17 Reactions
120 Replies
4K Views
Kwa taarifa za kuaminika kutoka Kagera wilaya Karagwe inasema watu wengi wenye asili ya Rwanda wananyanganywa vitambulisho hata kama watoto wamezaliwa hapa na wazazi wao wamezaliwa hapa nchini...
0 Reactions
3 Replies
443 Views
Apple has just launched the iPhone 15, but the rumour mill is already churning for the iPhone 16. The series is expected to bring significant upgrades and improvements compared to its...
1 Reactions
19 Replies
709 Views
Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki...
4 Reactions
12 Replies
260 Views
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Habari, Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri pamoja na harakati za ujenzi wa taifa letu la Tanzania. Nia ya uzi huu ni kukumbusha na kuamsha makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha hasa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
"We have been caught in a shootout at Kilimanjaro International Airpot. We have no idea what it is all about. It was quite a firefight. Stopped now but staff are nowhere to be seen."
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines! Zinashindwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
  • Redirect
Pichani bw. Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kusababisha umauti wa Beatrice Minja kwa kumchoma visu mara 25 mwilini. Naye inasemekana ameaga dunia leo alfajiri. Sababu za kifo chake hazijawekwa...
0 Reactions
Replies
Views
Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu Pili ninaomba...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za jioni. Walimu kadhaa waliohamishwa wakiwemo walimu wa Parakuyo primary school ambao shule yao imetwaliwa na mamlaka ya Handeni Mji kutokana na mabadiliko ya kimipaka yaliyomalizwa tangu...
0 Reactions
9 Replies
413 Views
Back
Top Bottom