Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Tumeumbwa katika taifa hili tuliangalie na kuliendeleza, lakini pia tupendane na kujaliana kama watu wa taifa moja. Hatuwezi kufanya hivi kama hatupendani, kama hatujaliani, na kama sio watu...
8 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamvi; Wiki chache zilizopita za Saudi Arabia, UAE, Bahrain na washirika wengine waliamua kuvunja uhusiano na Qatar wakiinyooshea kidole kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi. Hatua...
3 Reactions
29 Replies
17K Views
Dhana ya maendeleo imelala kwa watu. Iko kwenye kuwekeza katika watu na kuwapa uwezo, imelala katika maarifa. Watu wakiendelea ( wakiwa na skills na knowledge za kutosha) ndizo zinazofanya...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Tunachofikiri ndio tunachozalisha. Sisi ni zao la akili na mawazo yetu wenyewe. Aina ya taifa letu ni zao la mawazo yetu wenyewe liwe zuri au baya. Taifa hili tutalijenga kwa akili zetu wenyewe...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunahitaji kiongozi ambaye sio mwenye makuu na mwenye kutaka sifa, Sio muonevu na asiyependa haki, bali atakayetawala kwa haki na usawa. Lakini pia asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali. Kwasababu...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Baada ya kufutwa Kikokotoo kipya na kurudishwa vile vya zamani, nini matokeo yake? Tuangalie kigezo kimoja tu: asilimia ya kwenye mkupuo. A: Kikokotoo Kilichofutwa MFUKO...
0 Reactions
Replies
Views
Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia...
12 Reactions
1 Replies
20K Views
Nini kingetokea iwapo kingesikilizwa kilio cha "Nataka Pesa Zangu Zote wakati wa kustaafu"? Karibu tukokotoe. Tukubaliane *dhana* za awali: *Fungu A.* Mshahara kwa mwezi wakati wa kustaafu...
7 Reactions
2 Replies
6K Views
My verdict of the 27 ward by-election results: CCM is stabilising, CHADEMA is shrinking and CUF is disappearing Dr Kitila Mkumbo In November 2012 I wrote an article entailing my assessment of...
27 Reactions
51 Replies
14K Views
1. Inapotokea dharura au maafa, mtu wa kwanza kuokoa maisha yake ni... Wewe mwenyewe. Haileti maana kuongeza idadi ya wahanga kwa kuacha kuchukua tahadhari muhimu za lazima kulinda maisha yako...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Siasa za uongo na ulaghai zimeichukua taifa letu, lakini bado tunafikiri kwamba tumesimama katika sehemu imara, na ya kwamba miguu yetu kwamwe haitoteleza. Tunajidanganya. Hatuwezi kujenga taifa...
11 Reactions
0 Replies
2K Views
Kitu cha msingi ambacho nataka watanzania muelewe ni kwamba jambo la kimsingi ambalo tunapaswa kulipigania ni uhuru wetu. Uhuru wetu dhidi ya mataifa mengine (mabeberu) and their influence upon...
6 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali ambayo watu ndio focus ya utawala wao, sio madaraka, sio kujikusanyia mali na tajiri, sio kutafuta sifa na utukufu but truth and justice ni msingi wa taifa lolote imara. Serikali ya...
14 Reactions
0 Replies
3K Views
President Trump is facing a test to his presidency unlike any faced by a modern American leader. It’s not just that the special counsel looms large. Or that the country is bitterly divided over...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu ambaye hawezi kuongoza mawazo yake vyema na kuwaza mawazo mema pekee bali akili zake zimejawa na mawazo mema na mabaya ni sawa sawa na gulio ambalo kila kitu kinauzwa humo, Humo utakuta...
27 Reactions
1 Replies
5K Views
Disclaimers: Haya ni Maoni BINAFSI. All interests declared. All due respect accorded. Emphasis added. Some mistakes MIGHT have been made while referring to the Bill. AWALI: Pongezi nyingi kwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Awali ya yote naipongeza serikali kwa kuimarisha mfumo wa malipo ya kielektroniki serikalini. Kinachokera ni pale unapoenda afisi ya serekali na kuambiwa kalipie benki: wanakulazimisha uende...
11 Reactions
9 Replies
9K Views
Hili ni swali la kimsingi la kujiuliza! Je sisi tumeendelea na kwa kiasi gani? Taifa litaitwa limeendelea ikiwa watu wake wana uwezo wa kutengeneza au kugundua wao wenyewe na kisha kujitegemea...
18 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom