Yes, I am not as poetic as Pundit, or passionate as Mwanakijiji or full of Data like FMES or critical like Kuhani, BIn Maryam, Mtanzania, Kichuguu, Nyani or Mwafrika wa Kike, but my spirit is full...
When I look at President Kikwete, try to absorb and understand his leadership and management style, I end up with Hamid Karzai, the interim President of Afhganistan.
Both are very good friends...
Maji yanapoanza kukolea joto, msuguano wa chembe chembe zinazounda maji huanza kusuguana na kuanza kutoa mvuke. Kadri jinsi moto unavyoendelea kwa kiwango kile kile au kuongezeka, msuguano wa...
It is interesting to hear that Lowassa was received with maandamano ya watu, zulia jekundu na hata viongozi wa Serikali na Chama walihusika kuandaa shughuli za kumpokea "mfalme" wakati Wananchi...
This article created a debate in one of forums in 2006. It is worthy to be added here at JF where we have two strong camps that have different perspective on whole Ujamaa and Ujamaa Vijijini...
Nimekaa chini na kujiuliza tena, ni jinsi gani kawaida yetu Watanzania kuangalia bajeti yetu kwa kuangalia kuongeza mishahara na kupanda bei kwa bidhaa. Lakini nafikiri mara nyingi huwa tunakaa...
Wakati wa Azimio tulisema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora.
Hali halisi ya sasa hivi ya Tanzania inatubidi turudi tena na kujiuliza ili tuende tunahitaji nini...
How in the shag can a minister who is responsible for good governance and indirectly supervision of TISS utter such childish, nusery school responses?
How can our government be sound asleep when...
Katika vitu ambavyo bado naishangaa leo hii, ni Serikali yetu kuwa na Sheria ya Habari ambayo inalazimisha kuwepo kwa Waziri wa habari.
Nimejiuliza, kwa nini tunaendelea kuwa na Waziri Kamili...
Baada ya kashfa ya Richmond tulishuhudia vitu kama Richmod Towers n.k, katika pitapita yangu huku na kuko nimekutana na JK Towers. Je, JK ina simama badala ya nini? Je, ina uhusiano wowote na Rais...
Naam, kila lisemwalo lahifadhiwa kwa kumbukumbu. Ikiwa mtazamo na msimamo wa Maalim Sefu ni kuvunja Muungano pindi akiwa Rais wa Zanzibar, je CUF ya Lipumba na haya ya Muafaka yana maana gani...
Pamoja na juhudi zetu kubwa za kuking'oa CCM, ukweli ni kuwa vyama vya Upinzani havijajiandaa vizuri kuliongoza Taifa letu.
Hili linatokana na ukweli kuwa havina watu wa kutosha ambao wanaweza...
Je Utabiri wa hali ya hewa ulipotamka mwaka 2002 kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua, kwa nini Serikali ilipuuzia au ilifanya mambo yanayoonekana kana kwamba walipuuzia ushauri huo?
Wakati tunapata...
Buzwagi saga
Minister Karamagi makes confession
By Sunday Citizen Team
Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi has officially admitted that he deleted from the proposed Buzwagi...
Kesho ndio lile sekeseke la kumpata Rais Bora wa Afrika, wastaafu, linaanza rasmi. Index inatangazwa kesho 25th Sept.
Habari nilizo nazo za ndani kabisa ni kuwa ushindani mkali upo kati ya Rais...
Was Zitto wrong?
By Sunday Citizen Team
The Income Tax of 1973, which was amended in 2002, bears the controversial Clause that Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi told the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.