Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Tuna maswali kadhaa ya kujiuliza je demokrasia ni kubadilisha utawala mmoja na kwenda mwingine kwa njia ya kura? mantiki nzima ya demokrasia iko katika hili tu au ni zaidi ya hapo? je demokrasia...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Awali: pongezi kwa wote wanaohusika na mradi huo wa kuboresha Jiji la Dar es Salaam. Pili: Wahaya wana msemo: ukienda kuomba maziwa, angalau basi uje na kihansi (kibuyu). Tatu: Barabara nyingi...
14 Reactions
5 Replies
8K Views
Kwa wakazi na washaija watumiao Bandari Street, ile barabara ya kutokea Gerezani Ilala mpaka mzunguruko wa barabara ya Bandari na ya Kilwa, aghalabu pana foleni ndefu inayosababishwa na reli...
6 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni watu wenyewe ndio hufanya taifa likue na liendelee. Serikali ina nguvu kidogo sana ya kufanya hili litokee. Nguvu kubwa imelala kwa wananchi. Serikali ni mratibu tu. Lakini watu ndio wenye...
36 Reactions
1 Replies
4K Views
Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
There is an urgent need for policies to allow for homeschooling in Tanzania. At the moment the legal and policy landscape does not provide for homeschooling. Now is the time. EDIT 1: WHAT IS...
8 Reactions
13 Replies
9K Views
Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea'...
30 Reactions
7 Replies
14K Views
Pongezi lukuki kwa juhudi za Serikali-Mtandao, mfano mzuri ukiwa Government electronic Payment Gateway (GePG), mfumo wa malipo ya kielektroniki kwa serikali. GePG imeleta maboresho makubwa kwa...
22 Reactions
3 Replies
9K Views
Najiuliza ni kiasi gani Spika na maamuzi ya kumsulubu CAG kwa wiki mbili na kulifanya jambo la kujaza kurasa za magazeti kuongelea kauli ya CAG na matumizi ya neno dhaifu..... na sasa ripoti...
11 Reactions
2 Replies
4K Views
Najiuliza.. Leo mwanasiasa anakuja jimboni na kusema nitawaletea pikipiki, nitanunua lori, na wananchi tunashangilia na kumpa kura zetu kwa kuwa kaahidi kutuletea pikipiki na lori. Leo chama...
21 Reactions
11 Replies
7K Views
Nitaongea kwa ufupi sana! Tatizo la kukomaa kwa umadhubuti mfumo wa Ufisadi na kukosekana Uwajibikaji ambao umeliletea Taifa letu hujuma na taswira chafu kuhusiana na Rushwa, Ujangili, Madawa ya...
11 Reactions
9 Replies
6K Views
Ripoti ifuatayo inatudokeza mambo mbalimbali kuhusiana na mpango wa DART - Dar Rapid Transit - yaani Mradi wa Mabasi ya Abiria yaendayo kasi. Bila ya shaka watu wengi wamekuwa wakifiria kwua hiyo...
15 Reactions
122 Replies
32K Views
Nasikitika sana kuona member wanao unga mkono uzi ulio pewa jina sawa na uzi huu usemavo apo juu, na kumpa like. Nanukuu kauli.. "Cartoon pic" "Mtoto- baba ukitaka upande chati kisiasa...
8 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimetoka kusikiliza Symposium ya Baraza la Wachumi Tanzania na Benno Ndulu nikajiuliza swali hili dakika ya nne baada ya kumsikiliza Benno. Je Tanzania kuna sera ya Job Creation ambayo ni...
14 Reactions
6 Replies
4K Views
Taifa linalofanya mzaha kwenye maisha ya kifamilia haliwezi kuendelea, kwakuwa huko ndipo watoto hukuzwa na mazao yake kuonekana baadae katika ngazi ya Taifa. Na hao huingia katika taasisi zetu...
14 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na...
22 Reactions
71 Replies
18K Views
Kama elimu yetu haitajengwa kulingana na malengo ya kitaifa, watu wetu watakua pasipo malengo ya kitaifa na pasipo utaifa. Naweza kusema itajenga watu wabinafsi wasio na malengo ya kitaifa. Kwa...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Kufikiri kwamba watoto wetu watakuwa wenye tabia njema wakati sisi hatuna tabia njema ni kama kuwa na matumaini kwamba kunguru atazaa kuku siku moja. Tutawafundishaje tabia njema wakati sisi...
9 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilikuwa ninaangalia taarifa ya habari BBC na walieleza bank ya Uingereza ina akiba ya tani 50 za dhahabu. Hii ni alibaki ambayo unaweza kutumika kama nchi ikiwa na hali mbaya ya fedha. Sehemu...
16 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom