Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your...
2 Reactions
27 Replies
751 Views
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa...
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Mwenye prison break iliyotafsiriwa kwa kiswahili naomba Niko dar nakuja na flash yangu mkononi popote ulipo DAR ES SALAAM
1 Reactions
13 Replies
328 Views
Katika kusoma soma riwaya za kisasa zaidi za karne hii nimetambua kuna waandishi wazuri na wenye hadithi tamu wanafanana namna ya kuandika simulizi zao, maudhui yote kwa ujumla. Kuna George Iron...
0 Reactions
13 Replies
895 Views
....01 Waswahili wanasema simulia sana ila omba yasikukute. Mwenzenu yamenikuta. Yaliyonikuta honeymoon sitakuja kuyasahau. Nilichofanywa milele kitabaki moyoni mwangu.Sitasahau kamwe. Naomba...
8 Reactions
72 Replies
15K Views
CHANGE Story by Elton Tonny Urafiki, Familia, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo yasiyotazamiwa, Mambo yenye kuhofisha R-rated 18+ DISCLAIMER: Hadithi...
11 Reactions
282 Replies
47K Views
Kisa cha kusisimua, ni kisa kitamu chenye mafundisho na kuburudisha pia. Nimesoma visa na stori kibao humu ziwe ni dhahania au za kweli lakini zimenipa nguvu na faraja kuwa kwenye record...
18 Reactions
708 Replies
175K Views
Movie ya barbie imeingia miongoni mwa movie 53 duniani zilizofikisha mauzo ya 1Billion $. na hii na ndani ya week tatu tuu tangu kuachiwa kwake. Hii imemfanya director wa movie hii kutengeneza...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Rapa Na Mfanyabiashara kutoka Marekani Sean “Diddy” Anadaiwa kuwa hatopokea Mualiko Wa kuhudhuria katika Onesho Kubwa La Mavazi Na Mitindo linalofahamika Kama "Met Gala" Taarifa hizi ni baada ya...
2 Reactions
6 Replies
319 Views
Kutokana na mlipuko na kusambaa kwa homa kali ya mapafu – Corona (COVID -19) ni muda sasa wa kupunguza rapsha za hapa na pale tujitulize nyumbani muda wote ama muda mwingi zaidi. Ni kweli ni...
38 Reactions
226 Replies
30K Views
Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi...
5 Reactions
5 Replies
243 Views
Katika pitapita zangU...leo kuna ofisi flani hivi nilienda kupata huduma!!!.... Kuna muda niliwasikia wafanya kazi wa ile ofisi . Katika mazungumzo yao ya hapa na pale....wakiitaja sana na...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Q CHIEF NI CHORUS KILLER WA TAIFA. kupiga debe kwangu ilikuwa poa, Fani katika maisha ikaja kuniokoa Kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa Mke nilimshusha hadhi kuwa na machangudoa Mzimuni Family...
2 Reactions
14 Replies
427 Views
'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji...
1 Reactions
13 Replies
773 Views
Inakuwaje wanaJamiiForums Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho...
2 Reactions
19 Replies
490 Views
  • Poll
2 Reactions
0 Replies
186 Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho...
56 Reactions
2K Replies
530K Views
Kama wewe ni mpenzi wa simulizi kali sana za kijasusi na kipelelezi, kama unapenda simulizi zinazohusu michezo ya siasa na namna watu wanavyo iishi siasa kikatili. Kama wewe ni mpenzi wa simulizi...
1 Reactions
185 Replies
22K Views
Back
Top Bottom