Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
122 Reactions
7K Replies
1M Views
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/...
3 Reactions
0 Replies
101 Views
Huku kwenye Hip Hop kuna madini, japo si kutoka kwa hawa mumble rapper akina "Gucci Gang x90" 😂😂 Ukiachana na rap katuni na nyimbo matambo mbele ndani uchuro tushee Lyrics nzito na zenye ujumbe...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
1 Reactions
6 Replies
195 Views
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini. Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
0 Reactions
7 Replies
428 Views
Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock...
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school). Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
1 Reactions
4 Replies
172 Views
(image via itl.cat) MUUAJI MWENYE KOFIA NYEKUNDU SEHEMU 001 Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita kamili, John Otieno alikuwa akikatiza kwenye mtaa uliotulia maeneo ya Iwambi jijini Mbeya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake Anime ambazo nimeangalia 1-HunterxHunter 2-Naruto(bado naendelea)
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Gere unanionea mie nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambu kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii...
1 Reactions
16 Replies
199 Views
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida. Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda...
132 Reactions
3K Replies
682K Views
Kenya, Uganda na Tanzania. Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi. It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own. Kwanini kukopy.. Embu sikieni wimbo...
2 Reactions
29 Replies
270 Views
Tamthilia ya MICHAKATO inaonyeshwa CLOUDS TV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 2.00 Usiku na kurudiwa kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 5.00 Asubuhi. Tamthilia hii ya MICHAKATO ni...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tangu enzi za Mbowe Hotel na baadae Billicanas ile Club iliwafanya Wakuja wapate Ustaarabu wa mjini Na uzuri wa Bills hata bavicha na UVCCM waliunganishwa na Ustaarabu wa mjini na kwahiyo Itikadi...
10 Reactions
6 Replies
467 Views
Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wakuu, naomba mnisamehe kwa kuwa kimya sana, majukumu ya hapa na pale. Kama kawaida naomba kuleta uzi kuhusu jamii zetu. Leo nimeona ni vyema nikazungumzia tasnia yetu ya filamu hapa...
3 Reactions
4 Replies
448 Views
https://youtu.be/txVBHF_kjhk?si=whyhDUs-5SsR0fj- Hilo dude lilisukwa buana, sikiliza beat ya Dunga, Sikiliza chorus ya mwanadada Mercy Myra, halafu unganisha na flow nzuri kwenye beat kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu...
55 Reactions
3K Replies
736K Views
Back
Top Bottom