maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wachezaji hawa wa Ihefu wanastahili kuchezea Simba bila maswali

    Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza...
  2. Scottz

    Maswali yanayoniumiza akili

    Mimi ni nina maswali kadhaa kuhusu hizi imani zetu hizi, naomba kwa wenye uelewa wanijibu 🙂, 1.Tunaamini Mungu anajua kila kitu , mambo yaliopita, ya sasa, na yajayo sio?, ok ivi ni kwanini wakati wa uumbaji wake aliamua kumuumba lusifa ambaye baade aligeuka kuwa shetani, je hakujua kuwa hiki...
  3. suley wa tz

    Msaada wa wa maswali ya interview kada ya mkufunzi maendeleo ya jamii

    Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
  4. Mohamed Said

    Maktaba ya Mohamed Said na Maswali ya Wasomaji

    Wana JF Jukwaa la Historia, Nimekuwa nikifanya majadiliano hapa sasa huu ni mwaka wa 11. Nimegundua kuwa kuna wafuatiliaji wengi wa mijadala hii yetu ambayo wanauliza maswali ambayo kwa hakika nishayajibu mara nyingi sana. Kwa nia ya kuondoa tatizo hili na kwa nia ya kusambaza elimu kwa wote...
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
  6. Ojuolegbha

    Mbunge Agnes Marwa akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu. Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
  7. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana, Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
  8. kavulata

    Sikiliza maswali ya wanahabari wetu, ni kama ya Fei Toto

    Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu.
  9. iPhone 6

    Maswali ya Interview (Written) Wizara ya Mambo ya Nje

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kuuliza maswali gani kwenye interview za wizara ya mambo ya nje position ya Foreign Officer II, wanakua wanauliza kwenye ngazi ya written interview.
  10. kirengased

    Ninayo maswali kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini

    Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo; Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake? Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
  11. GENTAMYCINE

    Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  12. DR HAYA LAND

    Binadamu unapozaliwa na kuja duniani wewe tayari ni majibu na sio maswali

    Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua hebu elewa maana ya maisha kwanza. Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani. Wewe ni majibu na sio maswali. Dunia huwa inatupa maswali na sisi...
  13. I am Groot

    Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  14. Nyani Ngabu

    Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  15. 6 Pack

    Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  16. Pascal Mayalla

    Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
  17. GENTAMYCINE

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
  18. BARD AI

    Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  19. W

    Msaada wa aina ya maswali wanayouliza usaili wa Uhamiaji

    Wakuu wadogo zenu tumeitwa usahili wa uhamiaji tunaomba mwongozo muliowai kupita au mupo kweny taasisi ya uhamiaji
Back
Top Bottom