Mengi yamesemwa kuhusu Mzee wetu huyu na sisi tuliokuwa shuleni wakati ule tulilishwa kile ambacho naamini ni sumu. Wakubwa tuelimisheni ukweli kuhusu Mzee huyu.
Oscar Kambona
Kambona, the man...
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama...
Mwalimu (RIP)Baba Wa Taifa Hili, na Mkewe Mama Maria
Wakuu Wote Jamii Forums, Heshima mbele!
Katika hiki kipindi cha mapumziko nimeona sio vibaya tukijikumbusha historia yetu ya taifa katika...
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana!
Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa...
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji...
Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN
Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995.
Niko Tanga.
Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
Habari wadau,
Nilipokuwa Tanga, niliona mnara wa saa uliojengwa kipindi cha ukoloni wa Kijerumani (1901) na umekarabatiwa mwaka 2022 na watu watatu;
1. NGO inayoitwa Tanga Development...
Wanaume Wengi wa Kabila la Bubal Linalopatikana Somalia Wana Mabusha (Kutuna kwa Korodani). Inaelezwa Kuwa Hali Hio Huwatokea Kutokana na Imani Yao ya Kulamba Damu Mbichi ya Hedhi ya Ng'ombe. Hii...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
Wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati Sokoine kwa vile alipofariki nilikua bado sijazaliwa, nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi...
MSOMI WETU WA KARNE.
Kijiji cha Katoma kipo Mkoani Kagera.Tarehe 28/09/1942 alizaliwa kijana mmoja mtanashati wa mwonekano na kichwani.Huyu ni Justinian Rweyemamu, mmoja wa wasomi hodari kuwahi...
JINA LAKE KAMILI NI JUMBE SHOMARI JAHAZI
Picha hiyo hapo chini ni picha maarufu sana.
Katikati ni Abushiri bin Salim Al Harith, wa kwanza kushoto ni Jahazi na kulia ni Makanda bin Mwinyimkuu...
SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika.
Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale...
UHURU WA ZANZIBAR 1963
Picha hiyo hapo chini ni ya rafiki yangu wa utotoni Mohamed Kitunguu.
Tumekutana juzi na sote tulifurahi kuonana.
Miaka mingi imepita.
Tulijuana sote tukiwa na umri wa...
Mufti Sheikh Hassan bin Ameir
Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa.
Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia...
MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA
Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la...
Freedom and unity
Freedom and socialism
Freedom and development
Poverty is bad but poverty in thoughts is worse
Source: Personal development
How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Hii ni mada ya mtiririko wa matukio ya kidunia yasiyo ya kawaida, yaliyohifadhiwa toka vyanzo mbalimbali kwa njia ya picha, maandishi ama vyote viwili.
Lengo kuu ni kupanua ufahamu wa wale wote...
UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s
Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi.
Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita.
Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965.
Kulia...
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.
Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.
Hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.