Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu.
Naona Tu ni poor government imesababisha
Mfano:
Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government)
Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi.
Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?
Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
"Ugumu wa maisha kaka umenifanya nifanye kazi hii na kuachana na taaluma yangu. Huu ni mwaka wa tatu nauza simu, maisha yanapaswa kuendelea"
Ni kauli ya kijana mmoja pale Makumbushoinayoonekana yakishujaa ila ndani yake yamejaa maumivu kwanza kwa kijana kama alipoteza muda kusomea...
MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma
"Niliposoma taarifa ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika...
Habari Wadau,
Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF?
Japo...
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.
1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara wanachukiwa wakienda kule, wanaitwa chogo, na katiba yao inazuia watu wa bara kumiliki ardhi. Juzi...
Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla.
Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani
Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!
Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za africa mashariki
Majibu ya walioomba Diversity Visa Lottery yatatangazwa kupitia official website ...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana,
Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan.
If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi?
Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono...
Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke..
Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile"
Swali la jamaa lilikuwa:
1...
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.