GE2025 Zungu aongoza waaumini wa Kiislamu kuombea uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Ilala, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2025 wamefanya dua maalum kuiombea Tanzania amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.

Akizungumza katika dua hiyo, Mbunge wa Ilala aliyemaliza muda wake ambaye pia ni anagombea tea nafasi hiyo katika jimbo hilo, Mussa Zungu amewataka wananchi kuepuka chokochoko za kisiasa na kudumisha amani wakati wa kampeni.

Your browser is not able to display this video.
 
Uislamu Unatumiwa Sana Kisiasa Kutokana Na Viongozi Wakuu Kuna Mahali Wamejisahau

Hii Ni Dini Yangu Napia Ni Imani Yangu

Viongozi Wakuu Wamejisahau Sana Warudi Kwenye Imani Waache Mambo Ya Dunia
 
Kama sio kumdhihaki Mungu ni nini?
Zungu huyu huyu? Atangaze kutogombea muamini
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…