Zuio la CHADEMA kujihusisha na siasa liliisha tangu Dec 10 2025, RPC wa Mbeya aelimishwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,286
Reaction score
271,519
Zuio lile batili lilianza tangu June 10 2025 lengo likiwa kumsaidia mgombea wa com kupita bila kupingwa, miezi 6 yake imeisha Dec 10 Mwaka huohuo

Hili jambo ndio analopaswa kuelimishwa RPC Mjinga wa Mbeya, Miaka 33 ya Chadema inaadhimishwa Nchi nzima kwa kuzindua hiki na kile zikiwemo ofisi mpya za Wilaya, Mikoa na Kata, Mbona kwingine hawakamatwi?

Nachukua nafasi hii kumuonya RPC wa Mbeya kwamba vyeo huisha, Mwangalie Omari Mahita Leo alivyo, si ccm Wala serikali inayoweza kumrudishia figo zake Wala kumuondolea Kisukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…