Mvungi huyo afisa kakudanganya sheria iko hivi kwa mafao ya uzeeni anaestahiki ni mwanachama ambae amefikisha umri wa kuzaliwa wa miaka 55 mpaka 60 mfuko wa zanzibar una mafao 3 tu kwa sasa yanayolipwa fao za uzee, ulemavu na magonjwa, na fao la warithi sasa sijui wewe ulikuwa unadai fao gani?
Zanzibar hawana fao la withdrowal yaani uwezo wa kuchukua pesa zako wakati unapokuwa huna kazi chakukifanya ni kitu kimoja kuwaomba wawakilishi wenu kulisemea hili kwani wao ndio watunga sheria usitegemee zssf kubadilisha sheria kwenye hili hio mifuko wanaofanya withdrawal wanataka kama leo waufute huo mfumo mvungi peleka malalamiko yako kwa jussa na wengineo huenda wakakusaidia kwani zssf wanafata sheria yao lkn sheria inaweza kubadilisha kwanza ishakua ya miaka mingi tangu 2005 walipobadilisha kwa mara ya mwisho