Technology ya majengo pia imehama, siku hizi kuna gorofa zinajengwa na mega panels, tembelea YouTube kujua zaidi. Inakua hamna collum wala slab la nondo ni mwendo wa wire mesh
Kuna ujenzi mwingine kwenye slab wanaweka tofali zinaitwa Letice kama sijakosea.
Zote hizi zinawezekana inategemea na architect wako kama bado anajiendeleza na shule au anatumia vitini vya miaka ya 2000 huko