Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Apr 9, 2016 #1 Zoezi la kuhakiki silaha linaendelea... kwa maoni yako unafikiri hz ni zamkoa gani?
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Apr 9, 2016 #2 hiyo mshana jr inamhusu sana, atuambie
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,577 Reaction score 12,334 Apr 9, 2016 #3 Hizi zitakuwa za sumbawanga
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,290 Reaction score 3,946 Apr 9, 2016 #4 Hivi hawawezi kuweka kwenye chupa nzuri angalau zivutie wateja!?
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,003 Apr 9, 2016 #5 Hizo ni za mikoani, kwa wanaume wa Mikoani.
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 Apr 9, 2016 #6 wise-comedian said: Hivi hawawezi kuweka kwenye chupa nzuri angalau zivutie wateja!? Click to expand... nahis hujaelewa hizo hazoipo dukani hapo zinakaguliwa tu
wise-comedian said: Hivi hawawezi kuweka kwenye chupa nzuri angalau zivutie wateja!? Click to expand... nahis hujaelewa hizo hazoipo dukani hapo zinakaguliwa tu
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,105 Reaction score 35,516 Apr 9, 2016 #7 Dragoon said: hiyo mshana jr inamhusu sana, atuambie Click to expand... Kabisa
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Apr 9, 2016 #8 MOTOCHINI said: Kabisa Click to expand... sijui yuko wapi, kachelewa hajafika