Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,530 Reaction score 6,942 Jun 9, 2017 #1 Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Attachments IMG-20170609-WA0015.jpg 50.6 KB · Views: 62
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jun 9, 2017 #2 Bye bye Abracadabra...
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,530 Reaction score 6,942 Jun 9, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Bye bye Abracadabra... Click to expand... We jamaa noma hahahhaa
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Jun 9, 2017 #4 Good! Japokuwa kafunga goli 28 bado alipoteza nafasi za wazi zaidi ya 30 na kutufanya tucheze katika wakati mgumu. Atabakia CARRINGTON kuendelea na matibabu. Huenda akaingizwa Jan 2018 kama tulivyofanya kwa HENRICK LARSON miaka ile kuongeza nguvu. Tusubiri..! Tunamshukuru kwa yote na kumtakia kila lenye kheri. Najua ataingia striker mpya mwenye uzoefu zaidi ya hawa madogo waliopo. [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
Good! Japokuwa kafunga goli 28 bado alipoteza nafasi za wazi zaidi ya 30 na kutufanya tucheze katika wakati mgumu. Atabakia CARRINGTON kuendelea na matibabu. Huenda akaingizwa Jan 2018 kama tulivyofanya kwa HENRICK LARSON miaka ile kuongeza nguvu. Tusubiri..! Tunamshukuru kwa yote na kumtakia kila lenye kheri. Najua ataingia striker mpya mwenye uzoefu zaidi ya hawa madogo waliopo. [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Jun 9, 2017 #5 Anasepa huku kavunjika.
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,532 Reaction score 1,122 Jun 9, 2017 #6 Watabakia nafasi yao ya tano au sita kama gemu likiwanyookea maana hakuna namna!!!!
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,685 Jun 9, 2017 #7 Zlatani Hawezi Sepa
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Jun 9, 2017 #8 Saju b said: We jamaa noma hahahhaa Click to expand... Ameinstall automatic app inamualert in case of any new post
Saju b said: We jamaa noma hahahhaa Click to expand... Ameinstall automatic app inamualert in case of any new post
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Jun 9, 2017 #9 Km vile toilet paper unatumiwa dheni unatupwa
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,294 Jun 9, 2017 #10 Zlatan OUT Samatta IN.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,358 Reaction score 289,449 Jun 10, 2017 #11 Saju b said: Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Click to expand... Amekongoroka sana .
Saju b said: Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Click to expand... Amekongoroka sana .
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,977 Reaction score 14,103 Jun 10, 2017 #12 Na man u itashuka daraja Next season
Handsome man JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 880 Reaction score 959 Jun 10, 2017 #13 Umri umechangia