Zlatan akataa malipo ya mshahara wakati akiwa majeruhi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
UINGEREZA: Mshambuliaji, Zlatan Ibrahomovic amekataa kuendelea kulipwa mshahara wa Pound 250,000 na Manchester United katika kipindi cha miezi 9 atakachokuwa majeruhi.

Mshambuliaji huyo raia wa Sweden atakuwa nje kwa miezi 9 hivyo hatakuwa na uwezo wa kuichezea klabu hiyo mpaka mwaka 2018.


===========
ZLATAN IBRAHIMOVIC has turned down a £13million offer by Manchester United to pay him while he is injured.

Manager Jose Mourinho told the 35-year-old he wants to trigger the extra year of his contract despite his devastating knee injury.

But Ibra does not believe it would be right to accept that kind gesture while he will not be playing.

This means the Swede could have called time on his Old Trafford career.

He suffered an anterior cruciate knee injury after landing awkwardly in the final minute of United’s Europa League win over Anderlecht.

Ibra will be out for nine months, which means he will not be able to play again until next year.

While he could start earning his money again then, he does not want to take it while he is in rehabilitation.

When he signed for United last summer, Ibra signed a one-year deal worth £250,000 a week, with an option for a further year if both sides agreed.


Source: The Sun
 
Ivi ibra hajawahi kuumia kabla? je alikuwa na tabia hii hii ya kukataa posho akiwa majeruhi
 
Angekubali hayo malipo maana yake anakuwa amekubali kusaini mkataba mpya. It seems anataka asepe kwenda MSL USA after May league ya England ikiisha tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom