Mzalendo wa Taifa letu ni yule anaenyang'anya watu haki ya kuishi, kugandamiza uhuru wa habari, kuteka na kuua watu, kugandamiza democrasia pale white house!
Mzalendo wa Taifa letu ni yule anaenyanganya watu haki ya kuishi, kugandamiza uhuru wa habari, kuteka na kuua watu, kugandamiza democrasia pale white house!
nashangaa UKU MNAMUITA ZITO MSALITI NA TYR MNAMUHUKUMU, LKN UPANDE WA PILI MNAWABEZA HAO HAO WALIOSITISHA MPANGO WA KUTOA HIZO HELA KUWA , ZITTO ANAPELEKA TAARIFA KWA WAKOLONI.......... BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA............???
Nlitabiri hapo nyuma kwenye thread (katika kuchangia hoja) kadhaa Zitto atakuja kushika madaraka ya nchi hii. Na nlisema huyu mtu ana akili kuliko viongozi wote nchini (anazijua takwimu za wizara zote kuliko hata mawaziri waliopewa madaraka, na anauwezo wa kuwatolea mtihani kuhusu wizara zao na wakafeli).
Mtu kama Mwita Waitara wakupewa kweli Unaibu Waziri TAMISEMI??? Anajua nini kuhusu "TAKWIMU" na "HISTORIA" ya Wizara Ya TAMISEMI??? Kweli kabisa??? Ina maana hakuna wa kupewa hio nafasi katika bunge zima zaidi yake yeye???. . . . Si masihara haya katika matumizi ya kodi zetu sisi raia wa hali ya chini.
Jana tumeshuhudia Brigedia Generali akiapishwa kua "MAKAMU WA TAKUKURU", anakua chini ya "CP Wa Polisi". Kweli Brigedia General anafanywa areport/awe chini ya CP Wa Polisi (Ki itifaki hii inasimama vipi)???
Zitto anachofanya sasa hivi wajinga hawata muelewa, ila kesho historia itamkumbuka sana.
Namuelewa mwamba kama unaenda kununua ndege huku wsnafunzi wanakaa chini hizo sio akil halafu unataka mkopo ndo utengenezee mambo ya elimu ikulu, ccm, jiwe, makonda , wote fvck you
Namuelewa mwamba kama unaenda kununua ndege huku wsnafunzi wanakaa chini hizo sio akil halafu unataka mkopo ndo utengenezee mambo ya elimu ikulu, ccm, jiwe, makonda , wote fvck you
Alexander The Great,
Hamna kitu hapo , mara miambili umpe Lissu uraisi kuliko Zitto , jamaa ni mchangamshaji Tu wa kisisa Ila hakuna tumaini lolote Kwa Zitto