SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Dhambi ya usaliti inamtafuna Ndugu yetu Zitto.
Vyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.Mwanzo alisema anashutumiwa kuuza majimbo, kuishtaki CDM kwa CAG na kutoshiriki operesheni. Baadae kasema amehusishwa na waraka ambao yeye haufahamu. Sasa anakuja na masuala ya mabilioni ya Uswisi na kumhujumu Bungeni.
Ndio maana wenye upeo wamemwonya Zitto na wenzake waache kuongea ongea na vyombo vya habari. Msingi wake ni kuwa kama kweli Zitto anaomba msamaha wa dhati kauli zake zinaweza "kuisaidia" ku-influence maamuzi yatakayotokana na utetezi wao wa siku 14 baada ya barua.
Mbele ya wanahabari pale Serena Hotel, Zitto hakuwahi kutamka kuwa CDM na mafisadi wa CCM na serikali kwa ujumla eti wameshirikiana kumfukuza ili kukwamisha ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswisi na kupooza Bunge km alivyoeleza kwenye kipindi cha Makutano Show cha Magic FM.
Kwa waelewa wanajua Zitto hana pa kushikilia ila kutaka huruma ya watanzania ila anajionesha wazi 'alitumwa'. Anaonekana sasa kuwahadaa wananchi kuwa CDM inafanya kazi na CCM na viongozi wake kumdidimiza yeye. Hii ni kiini macho na haiingii akilini. Kautumia sana udini na ukabila kujijenga na kuimarisha CHAUMMA cha wanakigoma kinachojumuisha mzee Rungwe, Kafulila, Mawazo na kiongozi wao Zitto km Ben Saanane alivyowahi kutudokeza.
Zitto bado,unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata mafanikio.
Vyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.
Ukweli hata cc cdm hawajui wamemvua zitto madaraka kwa kosa gani kwani inaelekea wana hasira naye tu. Lema anamrushia mawe hata haieleweki kwa nini! cdm inaweza kuanguka katika mtego hatari.Mwanzo alisema anashutumiwa kuuza majimbo, kuishtaki CDM kwa CAG na kutoshiriki operesheni. Baadae kasema amehusishwa na waraka ambao yeye haufahamu. Sasa anakuja na masuala ya mabilioni ya Uswisi na kumhujumu Bungeni.
Ndio maana wenye upeo wamemwonya Zitto na wenzake waache kuongea ongea na vyombo vya habari. Msingi wake ni kuwa kama kweli Zitto anaomba msamaha wa dhati kauli zake zinaweza "kuisaidia" ku-influence maamuzi yatakayotokana na utetezi wao wa siku 14 baada ya barua.
Mbele ya wanahabari pale Serena Hotel, Zitto hakuwahi kutamka kuwa CDM na mafisadi wa CCM na serikali kwa ujumla eti wameshirikiana kumfukuza ili kukwamisha ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswisi na kupooza Bunge km alivyoeleza kwenye kipindi cha Makutano Show cha Magic FM.
Kwa waelewa wanajua Zitto hana pa kushikilia ila kutaka huruma ya watanzania ila anajionesha wazi 'alitumwa'. Anaonekana sasa kuwahadaa wananchi kuwa CDM inafanya kazi na CCM na viongozi wake kumdidimiza yeye. Hii ni kiini macho na haiingii akilini. Kautumia sana udini na ukabila kujijenga na kuimarisha CHAUMMA cha wanakigoma kinachojumuisha mzee Rungwe, Kafulila, Mawazo na kiongozi wao Zitto km Ben Saanane alivyowahi kutudokeza.
Zitto bado,unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata mafanikio.
Kwa ujumla mwacheni Zitto aendelee kufunguka na taratibu naona anaelekea kutusaidi a mengi ambayo yamejificha nyuma ya pazia kwa vile ni wazi kabisa inaonekana kuna kitu anakizunguka zunguka bila kuingia kwenye kiini cha kitu ambacho anafikiri kinaweza kumtoa kwenye kashfa hii..tumpe muda tu then mbivu na mbichi tutazijua
Zitto atawachana msamba watu chadema mnahangaika naye wakati uwezo wake ni mkubwa kuliko nyie kamwe hamtamweza.
Nul kweli ila namhurumia sana kufa kisiasa. Kuna email correspondences zilizodakwa zinazomwonesha anatumika. Najua system ikikutumia haikutunzi. Inakumwaga na kukutafutia mwingine wa kukudeal, etc. Anaongea kwa jeuri utafikiri CDM ni ya kwake au yeye ndiye mwenye uwezo mkubwa kuliko Wote pale. Sasa hii political arrogance ambayo ni typical ya wanakigoma (ingawa sio wote) inatafsiriwa km inferiority complex.
Tumshauri kuwa ajitambue na kujirudi na aachane na wanaomtumia. Otherwise, CDM sio yake na kwa kuwa vikao ndio vimemwondoa ebde tu kuifufua CHAUMMA.
Wasiwasi wangu ni kuwa ataishia kuwa na 'wishful thinking' km Lyatonga na kutaka vyeo vikubwa kila aendako. Najua hawezi kwenda CCM km Mwampamba na Shonza ila NCCR pia imejifunza kwa Kafulila. So, aende CUF akamng'oe Lipumba au airudie CHAUMMA yake na akina Mtela na Juliana.
Na wewe unazunguka au unafunguka mdogomdogo????!!!!
Yasingetokea haya huu ufahamu wako ungeuleta lini????!!!!
Fortune telling or weather forecasting????!!!
.Ni mtazamo wako wewe ila huyo dogo ni Wakawaida sana tu. Amebahatika tu kuwa maarufu. Huwezi hata kumlinganisha na NAPE NNAUYEVyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.
Jaman si mmuache mbona mnamfuatilia ivo amekula chenu,mmesema mnamfukuza sasa kelele za nini tumechoka bwana kila siku Zitto zitto!!!!