Zitto ni kigeugeu sana toka atoke kwenye chama makini CHADEMA ni wazi kwamba amekosa mwelekeo. Mara amsifie kwamba ndiye raisi Tz ilikua inamhitaji, mara asingizie bei za ndege, mara amtukane na akimtukana mkulu hachukuliwi hatua yeyote, ila atukane lissu sasa, mh atafatwa kwa magari tokea singida mpaka dar kuja kuhojiwa. Ni wazi zitto anatumiwa na CCM kwahiyo uyu jamaa ni wa kupuuzwa tu.