Zitto: CCM imechanganyikiwa

Ni ngumu kuitofautisha Act na CCM,na Zito anasema haya baada ya ujumbe wa Afande Sele
 
Nahisi kesho litatoka tamko la kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya ndani.
 
Hapa kwenye maslahi bora kwa walimu wapinzani wote wameona ndio sehemu sahihi ya kuanzia chama changu ccm fanyien kazi hili eneo LOWASA alilisemea yeye ange anza na walimu zito anasema walimu ndio kila kitu
sisi ni nan mpaka tuwabeze hawa watu wakati umuhimu unaonekana
 
Afande sele anaona mbali kwa jicho kali.
Mwimbo wake wa darubini kali.
 
Tatizo kubwa lililopo hivi sasa nchini kwetu ni wapinzani kukosoana wenyewe kwa wenyewe na hasa vijana. Yaani wanachadema wanataka kujiona kuwa wao ni bora zaidi kuliko CUF, CUF bora kuliko NCCR na NCCR bora kuliko ACT Wazalendo

Jamani vijana wenzangu na hasa wa vyama vyote vya upinzani adui yenu namba moja ni CCM, hivyo hamna budi kupamabana kwa nguvu moja wote kukidhoofisha kwanza chama tawala na hapa ndio mtaona raha ya kuwa na vyama vingi.
Hoja za Zitto Kabwe ukizisoma vizuri na ukaelewa ni hoja nzuri sana maana anazungumzia mustakabari wa Taifa letu na mfumo wa sasa wa utawala na demokrasia ya kweli.
Kuanza kuponda na eti msaliti ni kujitoa ufahamu mkubwa.
Ni muhimu sana mkaelewa malengo ya vyama vya upinzani hapa nchini kwetu kama hamtaelewa bora wote makrudi ccm ili ibaki pekee.
 
Wachache wanaelewa kamaanisha nini Mkuu!
 
Yeye Zitto ndio kachanganyikiwa baada ya ACT kumrejesha yeye tu Bungeni
 
hoja ni nzuri na zinamashiko tatizo zito haaminiki leo anaiponda ccm kesho chadema sio mpinzani wa kweli uyuu kama mrema tu ccm B msaliti kama lipumba japo alichosema ni kweli
 
Kwa madini yaliyotemwa na Zito Leo ,naomba nitamke hadharani sasa kwamba hamna chagadema yoyote atakaye gusa ikulu.
 

Zitto WA JK na wa magufuli ,kipindi cha jk siku sikia sana akishambulia ccm kama sasa ,je kipindi hicho CCM YA JK ilikuwa malaika na ya sasa ni ya shetani
 
Zitto WA JK na wa magufuli ,kipindi cha jk siku sikia sana akishambulia ccm kama sasa ,je kipindi hicho CCM YA JK ilikuwa malaika na ya sasa ni ya shetani

Kipindi cha Jk hakuishambulia CCM? Itakuwa ulikuwa boarding bado
 
Chama cha vigeugeu kama popo, hawaeleweki kama ni ndege au wanyama. Leo ameisema CCM, kesho ataisema CHADEMA/UKAWA huku akiwapamba CCM na Magufuli wao. Vipi kuhusu swali la Afande Sele, lilijibiwa?
afande sele yuko desperate stress za maisha zinamdatisha
 
My critically considered opinion is that Zito and Mbowe are equally charged, that why they repelled.
 
Kaongea ukweli..ila ana kesi ya kujibu kwa Afande Sele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…