Zitto alikuwa na maana gani hii tweet katika kipindi hiki cha kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe?

Utakuwa shahidi wa 25 kama siyo miongoni mwa 24
 
Thank you very much. Wakoloni mawazo yao yako hivyo ktk kumanipulate watawaliwa. Hawapendi tujihusishe na maswala ya nchi.
 
Utashitakiwa miga wewe, shauri yako we endelea kupuyanga tu 😂
 
Kwanini usiwe sehemu ya mashahidi wa jamuhuri Sasa.Inaonekana wewe una facts za maovu ya washtakiwa,unaushahidi valid aise.Nenda katoe ushahidi ndugu yetu.
 
Kama Zitto a ka Nyepesi angekuwa mvumilivu Chadema,Leo angekuwa mbaoi Sana.
 
Deni la taifa 78,000,000,000,000
 
Y
A mnowe na zito waavhie wenyewe,
Twambie ya kwako nanai anakusumbua kwenye biashara yako au maisha yako tumshukie.

Hao wanasiasa wakitulia kwenye vinafasi wanakula pesa zetu kwa muda mfupi wanakua matajili sisi tuanahangaika miaka nenda tuanawakusanyia tu.
 
Utashangaa sana. Nyie mnajitia kutetea vitu hamvijui?
Mahita akitoa ushahidi mahakamani aliulizwa
KINGAI wakat ANAKUPA brief alikuonyesha video,audio au sms za kufanya kikao Cha ugaidi
AKAJIBU HAPANA
KINGAI alimpa TAARIFA rais kuhusu matukio ya ugaid akajibu HAPANA
Denmark na Canada kwenye ndoto??
 
Jumanne aliyembambikia mzeee MSTAAFU neno ya yembo na wakampora 90m yeye na SABAYA Leo yupo mahakamani Kama Shahid wa jamhuri KWENYE KESI ya MBOWE..
JAMBAZI anakuwa Shahid wa serikali
 
Kwanini usiwe sehemu ya mashahidi wa jamuhuri Sasa.Inaonekana wewe una facts za maovu ya washtakiwa,unaushahidi valid aise.Nenda katoe ushahidi ndugu yetu.
Kila mmoja ana kazi yake. Mimi nimetaka niwakumbushe tu kuwa mnayemtetea hamumujui
 
Haha Yule fisadi alionana na Raisi JPM na juzi katembelewa na Mama wewe unaonaje?!!!
!!...Fedha ya kishika uchumba cha Barrick unayo au tumeenda kuweka lami kwaajili ya kuanika mazao nyumbani!!!..
 



Jikite kwenye hoja mkuu...hiyo misukule unayoisema ni watu ama???
 
Wewe naweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…