Zitto alikuwa na maana gani hii tweet katika kipindi hiki cha kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe?

Siku ya Tarehe 4/11/2021 Saa mbili asubuhi Zitto Kabwe aliandika hizi habari kwenye ukurasa wake wa Twitter Kisha akafuta

Kijana Martin Maranja Masese akamfuata kumuuliza ana maana gani kutoa hizi habari wakati huu ambao kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyeki wa CHADEMA, Baada ya majibishano kumuelemea Zitto alimfata Martin inbox na kumuomba wayafute majibishano yao.

View attachment 2001770View attachment 2001771
Kwa mantiki hiyo Zitto anakuwa shahidi kwa upande wa jamuhuri, ama anakuwa mmoja kati ya watuhumiwa?
 
Moyo wa mtu msitu. Hata kama Lisu alilipwa ww haukuwepo kuona malipo yake. Na kuhusu Magufuli ya ni kweli si unaona Ikulu ya chamwino ipo chato, barabara za njia nane zinazojengwa zinazojengwa morogoro road zipo chato, barabara ya njia 8 ya bagamoyo road ipo chato, tanzanite bridge ipo chato, barabara ya kilwa road inayojengwa sasa hivi ipo chato, magufuli stand ya pale mbezi luisi ipo chato, ujenzi wa shule mbali mbali na hospital alizojenga wakati wa utawala wake pia kajenga chato tu, daraja la mfugale lipo chato, fly over ya ubungo ipo chato, bwawa la kufua umeme la nyerere lipo chato, stand nyingi za kisasa alizojenga katika mikoa mbali mbali naona kazijenga katika vitongoji vya chato tu peke yake. Hata hii stand ya treni za umeme iliyopo posta pia kihalisia pale sio Dar ni chato. Haya mkuu tusubiri sasa bando kutoka kwa katibu mkuu wetu kwa kufanikiwa kugeuza kila kitu kilichojengwa ktk mikoa mingine na kusema vimejengwa chato vyote. Ukisoma maandishi ya viongozi wetu hapo kwa hii picha itakupa uhalisia wa kile tulichoandika mi na ww hapa kuhusu kupinga kila kilichofanywa na serikali.

View attachment 2001975
Hapa hatuongelei mambo ya moyoni mwa mtu, tunaangalia facts. Kama Lissu kalipwa fedha leta ushahidi. Kama huna ushahidi hata wa kimazingira, kaa kimya. Lissu anapambana na maovu yanayotendwa na serikali yetu, si kwamba haipendi serikali
 
Mkuu unapotosha kwa faida ya nani? I have credible information kabisa, MBOWE sio gaidi na hii kesi ya kisiasa tu kuwafanya CHADEMA wawe compliant kwa mamlaka ya Rais maana to be realistic wali understimate madaraka yake kipindi anataja vipaumbele vyake. So hakuna cha ugaidi wala nini and time will tell.

Mbowe amefanya umafia mwingi tu huko nyuma sikatai lakini mara zote anatumia outsourced parties kukamilisha mishe zake. Huwezi Ukatuma pesa kwa namba yako kwa watu uliowatuma kufanya uhalifu, Mbowe sio dense kiasi hiko au uwatume walinzi wako ni mara 10 angekodi majambazi wa kawaida tu ambao hauna trace nao.
zitto junior paragraph ya kwanza unasema Mbowe siyo gaidi. Nami nasema Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi.

Paragraph ya pili unasema Mbowe alikwisha fanya umafia mwingi huko nyuma. Kumbe unakubali na unafuta paragraph ya kwanza. Tuiachie Mahakama
 
Hapa hatuongelei mambo ya moyoni mwa mtu, tunaangalia facts. Kama Lissu kalipwa fedha leta ushahidi. Kama huna ushahidi hata wa kimazingira, kaa kimya. Lissu anapambana na maovu yanayotendwa na serikali yetu, si kwamba haipendi serikali
Maovu yepi hayo ambayo unayazungumzia ww? Mbona hauweki prove hapa JF ili na sisi tuyajue!
 
zitto junior paragraph ya kwanza unasema Mbowe siyo gaidi. Nami nasema Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi.

Paragraph ya pili unasema Mbowe alikwisha fanya umafia mwingi huko nyuma. Kumbe unakubali na unafuta paragraph ya kwanza. Tuiachie Mahakama
Naona umembana kijana gololi zake zote mbili. Nipo kona hapa, akirudi tena nishtue.
 
HUUU UZI Kimeumana WAHA VS WACHAGGA wote mnajuana kwa jinsi mlivyo wabaguzi na Wabinafsi.
Tunawachora tuuu ACT vs CDM
 
watanzania tunajua wanasiasa wanafiki

kama umechunguza NCCR ilileta unafiki no one is paying attention

Lipumba na Cuf walileta unafiki,no one is paying attention

Zitto kwa leo sio stage anayotakiwa kuwa,asingekua mnafiki nchi hii zito angekuwa mkubwa kuliko yeyote kutokea,hii level aliyonayo leo ni sababu ya unafiki

FAM akifungwa sababu ya unafiki wa serikali na Zitto,mkuu wananchi tunajua the real ones

Lissu au Lema atarudi kua mwenyekiti wa CDM on behalf ya Mbowe halafu sikilizia hizo ndoto za kinafiki za Zitto za kuja kua mkubwa kuizidi CDM zitafika

Na remember,FAM anaweza iongoza CDM akiwa jela,kila siku asubuhi messenger anaenda jela kuchukua documents za briefing what to do....still wisdom ya Mbowe itakua available vya kutosha kama ilivyo ya Mtei akiwa home Arusha

Plus,kuna wazee wakubwa wa busara nyuma ya CDM,hawa wazee wataleta wisdom ya kutosha

Na mbowe kufungwa ni harakati tosha za kui-keep CDM kwenye makelele....serikali hapa haitalala....CDM itaendelea kua revelant kwa harakati za kumtoa FAM jela....yaani wamewatafutia topic CDM za kuleta makelele

Makelele ya Katiba na demands za kumtoa FAM ndio zitakua topic of the day kila siku for the next 5 years....trust me,this wont be pretty.........

Zitto ajue sio rahisi kujenga chama kijanja janja na ku-comprimise na serikali

CUF ili compromise tu ikafa siku hiyo hiyo

NCCR ili compromise tu ikafa hapo hapo...

I see Zitto hana akili kubwa kiivyo......Zitto kwa path aliyochagua,ameamua kua Mbatia version 2.0...hakuna jipya!
Zito anaogopwa sasa hivi hata na familia yake.
Ana ujanja wa kishamba,kaingia mjini kuja kusoma chuo kikuu.
Zito ndo kaisha rasmi.
Kama ulivyosema ni kweli sasa rasmi Yuko kundi moja na lipimba,Mrema,mbatia,Cheyo na ,shibuda
 
Paragraph ya pili unasema Mbowe alikwisha fanya umafia mwingi huko
Yeah ambao it happens kutokua ugaidi..... na ndio hoja ya maoni yangu.

Anyway whatever mahakama itaamua but taarifa ndio hiyo. Unajua hta kesi ya Akwilina Mbowe alihukumiwa kifungo lakini kwenye rufaa unaona mahakama ilivyoamua?? Same to Sugu alifungwa miezi 6 enzi hizo!! Ingawa ikaonekana hakuwa na hatia.

So mie na expect Mbowe atafungwa ila ukweli utakua dhahiri huko mbeleni baada ya rufani, and huu uzi tutakuja ufukua.
 
Vp airport mnayofugia mbuz sasa hv????
Moyo wa mtu msitu. Hata kama Lisu alilipwa ww haukuwepo kuona malipo yake. Na kuhusu Magufuli ya ni kweli si unaona Ikulu ya chamwino ipo chato, barabara za njia nane zinazojengwa zinazojengwa morogoro road zipo chato, barabara ya njia 8 ya bagamoyo road ipo chato, tanzanite bridge ipo chato, barabara ya kilwa road inayojengwa sasa hivi ipo chato, magufuli stand ya pale mbezi luisi ipo chato, ujenzi wa shule mbali mbali na hospital alizojenga wakati wa utawala wake pia kajenga chato tu, daraja la mfugale lipo chato, fly over ya ubungo ipo chato, bwawa la kufua umeme la nyerere lipo chato, stand nyingi za kisasa alizojenga katika mikoa mbali mbali naona kazijenga katika vitongoji vya chato tu peke yake. Hata hii stand ya treni za umeme iliyopo posta pia kihalisia pale sio Dar ni chato. Haya mkuu tusubiri sasa bando kutoka kwa katibu mkuu wetu kwa kufanikiwa kugeuza kila kitu kilichojengwa ktk mikoa mingine na kusema vimejengwa chato vyote. Ukisoma maandishi ya viongozi wetu hapo kwa hii picha itakupa uhalisia wa kile tulichoandika mi na ww hapa kuhusu kupinga kila kilichofanywa na serikali.

View attachment 2001975
 
Hii twiter mm sijailewa, tena hii ya mwisho iliyomtaja had tundilisu alaf ni ya tar 4/11/2021
Yaan siku 3 nyuma..et tundu lisu amekamatwa, mleta hii unaionaje, ebu tufafanulie kidogo..
Zitto kabwe anaelezea mipango/makubaliano ambayo walikua nayo baada ya uchaguzi mkuu wa 2020

Ndo kakurupuka kuyaelezea hiyo juzi
 
Nani huyo aliwatetea unaweza kuweka hapa reference yoyote?? Au mtu akishauri mbadili sheria na mjitoea kwenye binding multilateral treaties ndio anageuka kutetea mabeberu?

Waliotajwa kwenye ripoti ya makinikia wote ni CCM je kuna yeyote alipelekwa mahakama ya mafisadi? Vipi ile ripoti ya Tanzanite kuna mhusika aliwekwa ndani au kulipa fidia?

Huwa nashangaa mnapolaumu upinzani kutumiwa na mabeberu ilihali waliouza mafini yetu ni wana CCM ambao hta JPM hakuwakamata!! Yaani Lissu anaonekana shetani kuliko Chenge

Lisu akiwa makambako alishangaa Deo Mwanyika ambaye JPM alimu accuse Lissu kumuomba data za Acacia huyo huyo aliyeitwa jizi kapewa ubunge na JPM!! But hayo hamuoni mnabaki kusema upinzani unatumika na wazubgu kuiba madini??

Hii nchi kuja kuendelea ni ndoto kma mentality za wananchi ndio hizi
Bahati mbaya unabishana na watu walioajiriwa kuwatetea viongozi mafisadi wa CCM by any means. Hata ikibidi kusema “wanasiasa wote hawaaminiki; hangaikia mkate wako na wa familia yako”! Ilmuradi tu wahamishe attention toka kwa mafisadi wao na kuchafua wale makini hasa wa CDM kama kina Lissu. It’s a mission of the scum mired in utter desperation.
 
Najua upo kazini unatetea tumbo lako kwahiyo ni lazima ugeuze geuze maneno ili kulinda ugali wako. Sasa ni hivi.. chama kilichoanza kumuhusisha Lowasa na ufisadi na kudai kina ushahidi wa ufisadi wake ni Chadema. CCM kiliitumia hiyo hoja mwaka 2015 kutoka kwa Chadema lkn wao CCM hawakuwa na ushahidi wa tuhuma zake ndio maana aliporudi walimpokea na pia hawakumpeleka mahakamani kwa vile hawana ushahidi wa tuhuma zake. Chadema walisema wanaushahidi wa tuhuma za ufisadi wa Lowasa lkn kama walikuwa wanaushahidi wa ufisadi wake ni kwanini walimchukua awe mgombea wao wa uraisi? Lkn hata baada ya kurudi CCM kwanini Chadema ile ile haikupeleka ushahidi wa tuhuma za ufisadi wa Lowasa ili achukuliwe hatua. CCM inawezaje kumpeleka mtu mahakamani bila kuwa na uhakika wa kesi yenyewe? Soma maelezo ya viongozi wako hapo pichani ndio utajua ni jinsi gani walikuwa wanajua ukweli wa hizo tuhuma za Lowasa ambazo CCM hawazijui

View attachment 2002008
Sijui kama unaelewa unaposema CCM haikuwa na ushahidi kuhusu ufisadi wa Lowassa lakini ikatumia hoja CHADEMA kumuita Lowassa fisadi, maana yake hasa ni nini?

Yaani CCM yenye dola; TISS, CID, PCCCB, etc. halafu isijue ufisadi wa Lowassa, bali iamini kauli ya CHADEMA inayotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa?

Kesho CHADEMA wakisema Majaliwa ni fisadi, CCM watamvua uwaziri mkuu na kudai “CHADEMA wamedai wana ushahidi kuwa KM ni fisadi”? Is this a banana republic?
 
Kwahiyo Chadema walikuwa na maana gani kutaka watanzania tumchague Lowasa ambae walisema ni fisadi kuwa raisi wetu? Hivi mimi leo nikikwambia kuwa rafiki yako J ni jambazi sugu ambalo limeshaiba na kujeruhi watu mbali mbali mtaani kwao na ushahidi wa matukio yake ninao. Afu kesho nije nikwambie kuwa ktk marafiki zako wote hakuna rafiki mwema, mkarimu, mwaminifu na mwenye utu kama J, yani nikushauri umuachie kabisa huyo J duka lako akuchungie mpaka utaporudi safari. Kwa akili ya kawaida mbali na ile ya shule utanielewa kweli. J niliekwambia jambazi hatari jana, leo nikwambia hajawahi kuiba hata sindano ktk maisha yake na ni mtu mwema!
 
Wakiri msomi mr #dishlimetilt
Yaani apambane na majizi ya madini tokea 1990s alafu aje kuwatetea wakati almunusura wammalize hadi akakimbilia nje!!!

Lissu practically alipinga sheria za madini lakini JPM alibaki ndani na kuupitisha alafu baadae anakuja kusema imekaa kifisadi!! But lawama za masuala ya madini anatupiwa Lissu utadhani hata aliwahi kutoa hyo mikataba kwa hao wabia wenu!!.

Wasaliti ni wale waliotoa mikataba ambao wote ni CCM!! msitafute scapegoat
 
Back
Top Bottom