technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,562 Reaction score 57,887 Sep 11, 2020 #1 Zitto aifuta CCM Kigoma
elizabethkidoti Member Joined Aug 31, 2020 Posts 31 Reaction score 26 Sep 11, 2020 #2 technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,611 Reaction score 13,174 Sep 11, 2020 #3 Asante Zitto asante wana Ujiji. Mitambo ya Bashiru imedoda.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,286 Reaction score 38,884 Sep 11, 2020 #4 Majimbo yote ambayo yalikuwa chini ya upinzani yamebaki kuwa na nguvu sana kwa wapinzani. CCM wana la kujifunza!
Majimbo yote ambayo yalikuwa chini ya upinzani yamebaki kuwa na nguvu sana kwa wapinzani. CCM wana la kujifunza!
geordan Member Joined May 28, 2014 Posts 68 Reaction score 205 Sep 11, 2020 #5 technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Mbogamboga watasema ni picha za 2015
technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Mbogamboga watasema ni picha za 2015
Scale JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 2,122 Reaction score 2,658 Sep 11, 2020 #6 Si walisema hatarudi Bungeni! Hii nyomi vipi tena?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,111 Reaction score 69,569 Sep 11, 2020 #7 geordan said: Mbogamboga watasema ni picha za 2015 Click to expand... Watasema Wakati Huo Mwaka ACT Haikuwepo Wabhonye
geordan said: Mbogamboga watasema ni picha za 2015 Click to expand... Watasema Wakati Huo Mwaka ACT Haikuwepo Wabhonye
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,992 Sep 11, 2020 #8 Scale said: Si walisema hatarudi Bungeni! Hii nyomi vipi tena? Click to expand... Naona anaapishwa na spika
Scale said: Si walisema hatarudi Bungeni! Hii nyomi vipi tena? Click to expand... Naona anaapishwa na spika
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,176 Reaction score 162,639 Sep 11, 2020 #9 CCM haina chake nchi hii kwa sasa!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,828 Reaction score 118,996 Sep 11, 2020 #10 elizabethkidoti said: Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine Click to expand... Kama nakuona vile bibiye jinsi roho inavyo kuuma! Mbaya zaidi ukiangalia hapo, huwaoni akina Shoro Mwamba, Peter Msechu, Lina Sanga, nk.
elizabethkidoti said: Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine Click to expand... Kama nakuona vile bibiye jinsi roho inavyo kuuma! Mbaya zaidi ukiangalia hapo, huwaoni akina Shoro Mwamba, Peter Msechu, Lina Sanga, nk.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Sep 11, 2020 #11 Maccm yamefura hapoooool. Yataitisha wasanii 2000 na kusomba maraia kwa maelfu kwenye matrekta na malori kuonesha wanakubalika
Maccm yamefura hapoooool. Yataitisha wasanii 2000 na kusomba maraia kwa maelfu kwenye matrekta na malori kuonesha wanakubalika
Dr Akili JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 5,313 Reaction score 4,750 Sep 11, 2020 #12 Anawaaga wana Kigoma.
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,736 Reaction score 10,364 Sep 11, 2020 #13 Tutegemee Upingaji tokea CCM
M Mbaga kovic Member Joined Apr 15, 2020 Posts 33 Reaction score 38 Sep 11, 2020 #14 Licha ya kufungia mikutano ya kisiasa kwa Miaka mitano Huku wenyewe ccm wakifanya Naona wamegonga mwamba Upinzani umezidi kuimarika
Licha ya kufungia mikutano ya kisiasa kwa Miaka mitano Huku wenyewe ccm wakifanya Naona wamegonga mwamba Upinzani umezidi kuimarika
Mystery JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 15,842 Reaction score 31,073 Sep 11, 2020 #15 Salary Slip said: CCM haina chake nchi hii kwa sasa! Click to expand... CCM isingoje kukabidhi nchi kwa aibu...................... Ni vyema wakakabidhi kwa heshima hapo oktoba 28, kwenye sanduku la kura
Salary Slip said: CCM haina chake nchi hii kwa sasa! Click to expand... CCM isingoje kukabidhi nchi kwa aibu...................... Ni vyema wakakabidhi kwa heshima hapo oktoba 28, kwenye sanduku la kura
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,527 Sep 11, 2020 #16 technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Mbona wako porini nilidhani Zitto anagombea Kigoma mjini?!
technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Mbona wako porini nilidhani Zitto anagombea Kigoma mjini?!
M Mjamaa86 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 760 Reaction score 766 Sep 11, 2020 #17 technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Vyama vya upinzani wangegawana majimbo kikanda ingekuwa tamu sana, ingawa mbogamboga still wanateseka sana na bila mbeleko ya NEC na msajili wa vyama sijui sasa hivi ingekuwaje?
technically said: Zitto aifuta CCM KigomaView attachment 1566645View attachment 1566646View attachment 1566647View attachment 1566649View attachment 1566651 Click to expand... Vyama vya upinzani wangegawana majimbo kikanda ingekuwa tamu sana, ingawa mbogamboga still wanateseka sana na bila mbeleko ya NEC na msajili wa vyama sijui sasa hivi ingekuwaje?
D Danny Jully JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 4,416 Reaction score 3,867 Sep 11, 2020 #18 Salary Slip said: CCM haina chake nchi hii kwa sasa! Click to expand... Ni kweli na ndio maana walikuja na mkakati wa wabunge wa viti maalum kwa wanaume a.k.a kupita bila kupingwa.
Salary Slip said: CCM haina chake nchi hii kwa sasa! Click to expand... Ni kweli na ndio maana walikuja na mkakati wa wabunge wa viti maalum kwa wanaume a.k.a kupita bila kupingwa.
Trillion JF-Expert Member Joined Apr 24, 2018 Posts 3,329 Reaction score 7,499 Sep 11, 2020 #19 Futa CCM ya Magufuli futa kabisa kabisa.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Sep 11, 2020 #20 mbona hata mimi nilihidhururia hapo na sina mpango wa kumpigia zito kura?