mkanda tumboni
Member
- Jun 7, 2017
- 94
- 147
Mkuu sio kila sehemu pesa,, natambua kuwa pesa ina umuhimu wake katika mapenzi kama nilivyoainisha hapo juu.. na utambue kuwa sio changamoto zote zinatatuliwa kwa pesa..sawa mkuu ila mi ningependekeza iwe hivi.
1 PESA
2 PESA
3 PESA
4 PESA
5 PESA
6 PESA
hapo sio uchumba tu hadi uzee.naomba niongeze ya 7 na ya 8
7 PESA
8 PESA JAMANI NO MONEY NO LOVE
Ndoa ni zaidi ya hizo points, wengine hawajafuata points wamefata tendo pendwa, anaweza akawa mzuri kama unavyomuona lakini kule "kwingine" akawa anapwaya...Nahisi kwenye mahusiano /ndoa yako hupati shida aseeeh si kwa mada zenye points za muhimu hizi lol!
Au ndo kwenye miti mingi........????!!
Cc Smart911
Sijamaanisha points hizo tu za hii mada.. Kuna mada tofauti tofauti ametoa wiki zenye mambo muhimu sana yahusuyo mahusiano uchumi nk.Ndoa ni zaidi ya hizo points, wengine hawajafuata points wamefata tendo pendwa, anaweza akawa mzuri kama unavyomuona lakini kule "kwingine" akawa anapwaya...