ZITAMBUE CHANGAMOTO SITA KWA KILA UCHUMBA/NDOA

sawa mkuu ila mi ningependekeza iwe hivi.
1 PESA
2 PESA
3 PESA
4 PESA
5 PESA
6 PESA
hapo sio uchumba tu hadi uzee.naomba niongeze ya 7 na ya 8
7 PESA
8 PESA JAMANI NO MONEY NO LOVE
 
sawa mkuu ila mi ningependekeza iwe hivi.
1 PESA
2 PESA
3 PESA
4 PESA
5 PESA
6 PESA
hapo sio uchumba tu hadi uzee.naomba niongeze ya 7 na ya 8
7 PESA
8 PESA JAMANI NO MONEY NO LOVE
Mkuu sio kila sehemu pesa,, natambua kuwa pesa ina umuhimu wake katika mapenzi kama nilivyoainisha hapo juu.. na utambue kuwa sio changamoto zote zinatatuliwa kwa pesa..
 
Wewe endelea kubishana na PESA utakuja kuleta uzi hapa mke wangu hapokei simu zangu..
Hao waliopo kwenye Ndoa ukifatilia mada zao kuu ambazo huwa wanajadiliana usiku ni pesa pesa pesa
Watoto shule PESA
naenda kijijini kwa mama PESA
ikifika saa12 asubuhi PESA
mume hamfikishi mke sababu ya kuwaza PESA
hata jamii forum tunaingia kwa sababu bundle tunanunua kwa PESA
 
Bila pesa hata hiyo ndoa hutaipata. dawa ni kusaka hela kwa nguvu zote. hakuna mwanamke asiyependa pesa. SIX PACKS peleka construction site huko (TAZARA Fly-over project)
 
Nahisi kwenye mahusiano /ndoa yako hupati shida aseeeh si kwa mada zenye points za muhimu hizi lol!

Au ndo kwenye miti mingi........????!!

Cc Smart911
 
Nahisi kwenye mahusiano /ndoa yako hupati shida aseeeh si kwa mada zenye points za muhimu hizi lol!

Au ndo kwenye miti mingi........????!!

Cc Smart911
Ndoa ni zaidi ya hizo points, wengine hawajafuata points wamefata tendo pendwa, anaweza akawa mzuri kama unavyomuona lakini kule "kwingine" akawa anapwaya...
 
Ndoa ni zaidi ya hizo points, wengine hawajafuata points wamefata tendo pendwa, anaweza akawa mzuri kama unavyomuona lakini kule "kwingine" akawa anapwaya...
Sijamaanisha points hizo tu za hii mada.. Kuna mada tofauti tofauti ametoa wiki zenye mambo muhimu sana yahusuyo mahusiano uchumi nk.
Kuna moja ya sijui jana ya mambo yanayofanya tusiendelee ile Dahhhhhhhhhhh........

Shukrani

Cc Smart911
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom