Kama hujiwezi basi achana na kudate na mwanamke maskini.
Ewe kijana msaka tonge kama unandoto za kuwa tajiri basi zingatia hili.
Unaweza ukajikuta unatumia laki 4 kwa matumizi yake na ndugu zake kwa mwezi ile hali ww unaingiza laki 6 kwa mwezi.....
Najua mtasema sio wote lakini sheria ya wengi hubeba wote inatumika.
Hatakama mwanamke ni mzuri kiasi gani lakini kama ni kapuku pls kaambali naye....tunapendaga kusema ntamuendeleza kwakumfungulia biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]heheee my dear brothers wengi wamelia kupitia kausemi haka....
My take: ni kwa wale tu ambao wanandoto zakumiliki mpunga mrefu.
Sorry dear ladies maisha yamebadilika
Imetolewa na MUHENGA mwenzenu
commred Chichimizi
21/08/2017
commred Chichimizi