Zinaa imekithiri, magonjwa yameongezeka sana

candlelight96

Member
Sep 20, 2021
38
78
Jaman wazee wa JF,

Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa...mara nakula mke wa mtu, mara mke wa kaka, mara shemej, jirani...

Sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio hai

 
Wewe umeshakanyagwa na wangapi hapa JF? Wote wameshaunganishwa kwenye gridi ya taifa kama matokeo ya vipimo vyako yanavyoonyesha?

Kwa vile tendo hili huhusisha jinsia zote mbili, sijaona mantiki yako ya kulaumu upande mmoja tu labda kama hoja yako kuu ni kuwaonya vit*mbi wa humu kuwa wawe makini kwa sababu huko wanakokwenda kuchovya hakuko salama kivile kama wanavyodhani...
 
Ushaelewa ndyo hvyo wanaume wa jf n kujisifia na zinaa kwan huon ...lakin wanawake sikut uzi wao wakusema wamepigwa mashine kule mara huku..wanaume wanapost had za 'kula tunda kimasihara" yote huon wao ndo walengwa
 
Sasa hivyo vipimo ndio vimekutoa macho, mpaka ukaandika maneno mengi na usingizi wako umeukatiza?? Lala mama, dunia sio makazi yetu..mbona inajulikana.
 
Sasa hivyo vipimo ndio vimekutoa macho, mpaka ukaandika maneno mengi na usingizi wako umeukatiza?? Lala mama, dunia sio makazi yetu..mbona inajulikana.
Mm wala sina papara sabab najijua ni ASEXUAL...so kaz kwenu nyie wapenda sex ...mkapime
 
Umekosea sana kwenye picha
 
Kuna Jambo na Vijambo.
Mtoa mada ulitaka kutufahamisha nini na hizi kiti za damu ?
 
Mdau hii ni kawaida sana siku hizi aidha iwe ni maadili au nje na maadili. Sehemu nyingi wagonjwa au wateja wa vipimo vya damu wakishachukuliwa damu jamaa wa huduma ya afya wanajiongeza kuzipima hata HIV pasipo wateja kujua, utaletewa majibu ya malaria etc huku washabaki na sample au majibu kukuhusu wewe habari ya ngoma.
Vipimo visivyo shirikishi na visivyo husishi na visivyo hiari na blind testing.
Be warned jali afya yako. Kupata data za maambukizi kwa hiari na shirikishi haileti mutikio, data za kutosha hivyo hii mbinu ya kujiongeza ina matunda sana.

Kwamba inafaa na ni haki haihusu muhimu jichunge na jihadhari daima.

Matabibu kujeni hapa wajameni.
 
Wote wewe usiekula mbususu hautokufa sio mfu hai eti ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…