Zimbabwe to teach Swahili in schools

Ningekuwa nona mamlaka ningeamiru wakuu woye wahutubie kiswahili wanapokuja wageni wa kimataifa.

Hongera zenu chuo kikuu cha Far es Salaam kwa kuamua kuwasilisha mada zenu kutumia kiswahili mbele ya jamii. Nasubiri kuona mkifanya hivyo hata kwa wageni wa kimataifa.

Tufikie mahala tuwafanye waone umuhimu wa kujifunza kiswahili linapokuja suala la kishirikiana nasi.

Kama ilivyo english GB, America , Canada etc. Nategemea kuona hata microsoft na wengine wakiongeza "kiswahili tanzania" juu ya "kiswahili kenya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…