yes it is, even english is an indigenous language in Britain..
Much respect mdau..
"Swahili is the most widely spoken indigenous language in Africa."
A matter of concern:
Is Swahili an indigenous language? Just wondering....
As far as Africa is concerned
Many thanks MkuuOkay then, sounds good...
Many thanks Mkuu
The washed brain will remain washed forever!"Swahili is the most widely spoken indigenous language in Africa."
A matter of concern:
Is Swahili an indigenous language? Just wondering....
The washed brain will remain washed forever!
Talk of Kisukuma, Kinyakusa, Kigogo, Kiyao, Lingala, Mashona and the like to justify the word 'indigenous' but not this Kiswahili.
Na tusijidanganye kuwa Zimbabwe wataifundisha hii lugha kama priority language bali itakuwa inaelekezwa (instructors) kwa kutumia Kiingereza na kimashona ambazo wao wanaziheshimu zaidi!
It cannot happen, ni ujinga tu wameshindwa kufundisha lugha yao ya Kishona au Ndebele kwenye shule zao wataweza Kiswahili. Watu wanatafuta ujiko ambao hawawezi kuubeba stupid i d i o t s.
kufundisha lugha ya asili kama haijawadeveloped kiisimu (linguistics)-alfabets si kazi rahisi. Kiswahili is already developed na nchi nyingi zinatamani kutumia kiswahili ili kuua ukabila katika nchi zao, kuepuka machafuko. Swahili has the power of unification....usiwabeze
Mkuu hizo ni propaganda tu mark my words. Sasa hiyo unification ya kuungana na Kenya mbona inashindikana, mkuu hakuna muungano wowote kwa sababu ya kutumiwa na makuwadi kutoka nje. Unafikiri kwa nini Kenya waliua East African community?
Utingo said:Nimesema nchi nyingi nikimaanisha internally na si regional intergration...read between the lines. Wakenya wenyewe ili kuanza kuondoa ukabila umeweka wazi katika katiba yao kuwa kiswahili ni lugha ya taifa na hata makanisa ambayo yalikuwa na ibada za kilugha wanaanza kudiscourage sana.
Kama unataka tuzungumze kuhusu language and regional intergration (EAC) anzisha uzi mwingine