Ziliwahi kufunika hapa jamvini

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Kuna thread ambazo hadi leo nikizifungua na kuzisoma, siachi kukenua walau some part ya meno ya mbele. Mbiliwapo ni pamoja na

1. Chizi alikuwa anatembea
akaona kitu kama
kinyesi.Akainama akagusa
na kidole kisha akalamba
akasema,"Waa,ni mavi
kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!"


2. Jamaa mmoja alienda
hotelini kwa wazungu
halafu hajui English. Alitaka
kuagiza kuku ila wote
waongea kizungu
hawakumuelewa. Akaona mayai pembeni akapata
akili. Jamaa: waiter, do you see
these eggs, Waiter: Yes, I do. Jamaa: Ok I need their
mother

3. Unaesoma meseji hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona Mirembe.

4. MUME ANAMPIGA
MKEWE...akatokea Jirani... JIRANI:"Mke hapigwi."
MKE:"Tafadhali mume
wangu,msikize jirani
anachosema."
MUME:"Kwa nini nisimpige?
JIRANI:"Usimpige,we muolee mke mwengine
tuu.."
MKE:"Aaaa mume wangu
we nipige tu,usimsikilize
jirani."


5. Ile ya alizaliwa bila kichwa wakamuwekea nasi, now kawa rais wa nchi


6. ...............
 
Demu wako ni mwembamba hadi mabaunsa wa club wanakwambia haturuhusu kuingia na miwa
 
ile ya chizi aliyemkuta mlevi kalala jalalani mat..ko nje, akasikitika sana akasema ...yani kuna watu matajiri kweli, yani ------ mazima kabisa yametupwa jalalani
 
niliwahi kufukuzwa darasani kwa sababu ya hii kitu dah...yaani nilicheka mpaka nikafa

ile ya chizi aliyemkuta mlevi kalala jalalani mat..ko nje, akasikitika sana akasema ...yani kuna watu matajiri kweli, yani ------ mazima kabisa yametupwa jalalani
 
hivi mavi yana ladha gani????je kuna uhusiano gani kati ya harufu na ladha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…