Hi.
Wakuu Leo nimekumbuka hilisekek sekeseke la popobawa na enzi za majini kwato wale walivyomwagikaga jiji la Dar lilivyotikisika.
Daaah aiiiseh haya matukio mawili nikikumbukaga huwa naishia kucheka tu.Kipindi hiki cha popobawa tulijikuta tunalala nje tunatandika mikeka tunalala kwa kupindukiana migongo tu.hakuna anayeruhusu wezele lake lilale kihasara hasara.unataka ulinzi wa kutosha ndio angalau unaweza pata usingizi.yule kiumbe alikiwa balaaa.
Hakuna siku nilichanganyikiwa pale watu waliopandisha wanakwambiaa popo bawaaa uyooo alafu ukiangalia umuoniiii duuuh ile siku nilimaliza duaaa zote maneno yote ya kumtaja mungu nilisema ..Hakika hii Dunia Ina mambo.
Mood yangu tu ya Leo nimeamka hivyo.Najikuta nakukumbuka matukio yaliyopita nikaona nije kushea na nyie..nije kujiridhisha hapa kwa kujiandikisha tu.
Muwe na asubuhi tulivu.