Isaac Chikoma
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 475
- 101
Mkuu Isaac Chikoma mbona Final Cut Pro hujaiweka?
labda kataja za windows tu. final cut si inarun kwenye mac?
Ila kaka zingine ulizotaja ni plugin za software kadhaa hapo mfano, fume fx ni plugin inaingia kwenye software ya 3ds max, real flow ni plugin inaingia kwenye maya na 3ds max, Red giant ni plugin inaingia kwenye After Efects na Adobe Premier na inakusanya vitu kama Trapcode particular, trapcode form, shine na zingine kadhaa, v ray pia ni plugin inaingia kwenye 3ds max na maya............ila hongera upo vizuri, wewe unatumia ipi katika hizo ulizoandika hapo?
Mkuu Unity ni game engine, au ulivosema kudesign graphics ulimaanisha hadi associated softwares ndo maana naona umetupia hadi plugins hapo za software mbalimbali....
kwenye hiyo list jembe ipi inafanya rendering faster kwenye pc kama hii:- duo core processor(@1.8ghz),ram 3gb,graphcs card rate 3.1.
Naifahamu Unity mkuu, mimi ni gamer wa miaka mingi sana na still nafanya graphics designing na game development pia...Unity inatumika kwa ajili ya video game development, architectural visualizations. kwa maelezo zaidi www.unity3d.com
Kwa hiyo processor lazima uumie kama ni graphics, unless unataka 2D Graphics ubaki na photoshop editing za kawaida, ila rendering ya kama 3D au game development kwa kutumia engine kama unity inahitaji machine high end sana, hizo duo core hata benchmark zake ziko low sana siku hizi... Labda kama unafanya rendering ya scene bila kutumia vitu kama Global Illumination, Ambient oculsion ambapo utapata scene ambayo haionekani realistic... kama ni hivo basi Cinema 3D ni nyepesi kwa 3Dkwenye hiyo list jembe ipi inafanya rendering faster kwenye pc kama hii:- duo core processor(@1.8ghz),ram 3gb,graphcs card rate 3.1.
Naifahamu Unity mkuu, mimi ni gamer wa miaka mingi sana na still nafanya graphics designing na game development pia...
Ila unity inavotumika ni tofauti na software nyingine ulizotaja hapo juu... Japo ndo maana nikauliza au ulikua ukimaanisha software zote associated na graphics maana kama ni hivo still nimeungana mkono na wewe hapo juu
Mimi natumia Maya, 3dmax, photoshop, illustrator, dreamweaver, na Indesign.