G Ghamunga Senior Member Joined Sep 10, 2012 Posts 124 Reaction score 7 May 31, 2014 #1 kinana alipofika bassotu kaulizwa swali na mkt wa chadema kuwa mikataba ya mnara wa voda haupo kwa nini.akadai kufichwa na uongozi wa kijiji ambao ni wa chama tawala na katibu akadai hakuna vikao vya kisheria haikufanyika.je ni sahihi kuulizwa
kinana alipofika bassotu kaulizwa swali na mkt wa chadema kuwa mikataba ya mnara wa voda haupo kwa nini.akadai kufichwa na uongozi wa kijiji ambao ni wa chama tawala na katibu akadai hakuna vikao vya kisheria haikufanyika.je ni sahihi kuulizwa
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 May 31, 2014 #2 Haaa haaa hiyo kali!