Ziara ya Netanyahu Marekani

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Waziri Mkuu Wa Israel Anatarajiwa Kuzuru Marekani Na Kuhutubiwa Bunge La Congress Mwezi Machi.

Lengo Hasa La Ziara Netanyahu Ninini Zaidi Ya Kwenda Kuvuruga Mazungumzo Kati Ya Iran Na Mataifa 6 Yenye Nguvu Duniani?

Mzozo Wa Nyuklia Wa Iran Unatatuliwa Kwa Njia Ya Mazungumzo Ili Kufikia Maafikiano Ya Kudumu Baada Ya Mkwamo Wa Muda Mrefu.

Nia Ya Netanyahu Ni Kuleta Vita Ama?Na Obama Na Wabunge Wa Democratic Wamekataa Kukutana Naye.

Vituo Vya Iran Vinakaguliwa Na AEIA na haijawahi thibitisha kuwa iran inataka kutengeneza bomu lakini israel inatoa madai yasiyo na msingi
Israel Inamiliki Vichwa Zaidi Ya 400 Vya Nyuklia Lakini Iran Haina Bomu.

Iran Imesaini Mkataba Wa NPT wa kuzuia silaha za nyuklia lakini israel haijasaini.

Vituo Vya Iran Vinakaguliwa Vya Israel Havikaguliwi.

Malengo Ya Israel Kwa Iran Ninin Huku Ikimiliki Nyuklia.

Iran Inawaunga Mkono Hzbulah Na Hamas Israel Inawaunga Mkono ISIS na magaidi wengine waliopo syria ijapo ni kwa siri pamoja na kuwapa silaha
Israel ndo tishio la amani duniani na siyo iran.
 
Yusomwasha
Wacha waende wakajadili namna ya kuitwanga iran, na sasaivi iran iko uchi manake syria ambayo israel ilikuwa inajua itakuwa base ya iran na watasaidiana kuipiga imeshakwisha habari yake.

Kuna karata ya ajabu imechezwa kuivuruga syria na nchi iliyobaki ni iran tu. hivyo iran atategemea msaada wa hezbulah ambao israel wanatamani hata kesho waanzishe fujo ili wapigwe kama gaza.

Hamas hana nguvu tena siku hizi. kilichobaki ni kufanya juu chini kuisambaratisha iran directly au indirectly iwe kama iraq na syria. unajua hata iraq ilikuwa kama ilivyo iran sasaivi kiuchumi na kisiasa na kijeshi, wakimaliza kuisambaratisha iran, basi, wanajenga majengo mapya ya walowezi westbank na east jerusalem, wanabomoa na ule msikiti walioujenga juu ya hekalu la solomon, mwisho israel yote itakaliwa na wayahudi na jerusalem nzima itakuwa mji mkuu wa wayahudi. upo hapo?
 
Last edited by a moderator:
Syrian army tears through the south to sweep Iran and Hizballah up to Israel's Golan doorstep The large-scale offensive the Syrian army launched in southern Syria Sunday, Feb. 8 – the broadest in that region in the nearly-four year conflict – heralded Act III of the Iranian-Hizballah drive for a position on Israel's Golan border, debkafile's military sources report. Israel curtailed Act I on Jan 18 with an air strike which killed a dozen Iranian and Hizballah officers scooping out the Golan town of Quneitra for their new base.

Among them were the commander of Iranian forces in Syria, Revolutionary Guards general Mohamad Ali Allah Dadi and a senior Hizballah officer Ali al-Tabtabani.

This cut short a move to seize a forward position in the northern Golan and adjacent Hermon. Prime Minister Binyamin Netanyahu and Defense Minister Moshe Ya'alon then reiterated that Israel would not permit Iran and Hizballah to create a military enclave there for their forces to jump- start terrorist strikes and rocket attacks against Israel.

Act II came ten days later with the Hizballah attack, aided by Iranian tactical intelligence, on an Israeli command patrol, in which Major Yochai Klingel and St. Sgt. Dror Nini were killed. Although nothing happened for twelve days – some Hizballah sources even suggested the account was closed – all the parties were braced for the next round in the struggle playing out for the Golan.

On Jan. 30, Hizballah leader, Hassan Nasrallah stood up in Beirut for a furious speech to dictate terms: If Israel persisted in its refusal to live with an Iranian-Hizballah presence on the Golan, there would be war,he shouted. On Feb. 2, the influential Iranian lawmaker Alaeddin Boroujerdi, chairman of the majlis foreign affairs and security committee, declared that the account with Israel over the Quneitra attack was still open and more "operations" were coming. And they did on Feb. 8 from an unexpected direction – the south.

Elements of the Syrian army's Ninth Division and 121st Brigade armed with 50 T-72 tanks led a sweeping Iranian- Hizballah offensive dubbed "Operation Ali Allah Dadi for Quneitra Martyrs." With them were 4,000 Shiite fighters imported by Iran for the battle and several hundred Hizballah gunmen – all under the command of Iranian Revolutionary Guards officers.

The operation started out with an Iranian-led force advancing on the southern Syrian town of Deraa – part of which is held by Syrian rebels - and heading for the junction of the Syrian- Jordanian and Israeli borders. Strong dust and sand storms over the region this week restricts visibility and kept Syrian fighter jets grounded.

Nonetheless, the Syrian-Hizballah- Iranian force, by dint of its superior numbers and fire power, were able to drive Syrian rebels out of many of the sectors they held and push them back toward the Israeli border.

By Tuesday night, ground reconnaissance had sighted the advancing force reaching a line 5-6 km south and east of Quneitra and in position to capture the Syrian Golan town. Monday, Feb. 9, Syrian Foreign Minister Walid Muallem emphasized that Israel's efforts to create a buffer zone on the Golan, like the security enclave it maintained in South Lebanon, would not succeed.

The object of the Quneitra offensive is clearly to root out Syrian rebel forces, claimed to be backed by Israel, from the positions they hold facing the Israeli Golan.To replace them, a token Syrian contingent made up mostly of Shiite fighters trained by Iran's Revolutionary Guards and an armed Hizballah force will move in.

Tehran, Damascus and Hizballah are intent on forcing Israel to swallow the presence of their forces on the threshold of central and southern Golan - after their bid to park opposite the northern sector and the adjacent Hermon mountains was pre-empted by the Israeli air strike on their advance guard. This last challenge has so far gone without an Israeli response.

Heavy weather conditions over the region offer Netanyahu and Ya'alon a few days' space for determining their next move. But doing nothing will let Tehran come out of Act III as the winner and clinch the finale of the struggle for a forward position on Israel's Golan doorstep.
 
Mkuu umejawa na mihemko ya imani bada ya fact.
 
Huwa nacheka sana mtu akisema '' hamas, au hezbulah wanaitishia israel'', Wakati huohuo majengo ya hamas yamebomolewa ujenzi wake hadi ije kuwa kama zamani wanasema itakuwa 2030.

Hela za kujengea sasaivi wamekinga kikapu. hezbulah walishafurumushwa majengo yao yote beirut, na ndio maana israel walipokuwa wanaipiga gaza hezbohal hakuingilia kati kwasababu alijua atapigwa tu.

Huko syria, madege ya israel yalishaenda kumimina mabom mara nyingi sana ili walau asad arudishe mapigo na israel watie timu damascus kuichapa syria lakini asad amekuwa na akili sana hajajibu mapigo hadi leo.

Israel walikuwa wanategemea wakiipiga syria, asad anarudisha mashambulizi akisaidiwa na iran ili hiyo iwe short cut ya israel kupitia syria kwenda kuipiga iran, lakini iran ikanyamaza kimyaaa, asad akabana masaburi.

Hata generali wa iran alipouawa majuzi iran ilichojibu ni kuwatishia tu watoto wa netanyahu. hakuna lolote.

Mungu ibariki Israel.
 
Hute

Kwanza ujue israel huwa wanabomoa nyumba za gaza makusudi kuwavunja moyo hamas,kwani gazawameizunguka haiwezi ingia cement hata mfuko mmoja bila kupita checkpoint zao.

Ni mbinu ya woga tu,kwanini ubomoe makazi ya watu?

Hiyo mbinu haifanyi kazi kwa hizbu,kwani hujaona picha ya beirut karibuni?

Mji umejengeka zaidi ya ilivokua 2006.

Nadhani pia hujasoma post ya kinachoendelea hapo mpakani kuanzia juzi,soma post yangu hapo juu.

Hezb na Iran walikua wamekosana na HAMAS baada ya Hamas kuungana na waasi dhidi ya rais Assad.

Ni hivi karibuni tu Hamas wameomba msamaha na uhusiano umerudi kuwa shwari
 
Last edited by a moderator:
Hute

Dogo hivi we uko dunia ipi? Ikiwa tv ya Israel channel 2 wanakiri kabisa ISIS ilikuwa inapigana Syria sababu Israel iwe kwenye amani. Sa we unasema Syria imekwisha kabisa hujui kama sasa Israel ana hara, mana Syria kawa more strong kuliko mwanzo.

USA, Saud Arabia, Israel, Turkey na Qatar wamekiri wazi kabisa hakuna vita inayo weza kumuondoa Bashar Al Asad kwenye kiti. dogo unasema Israel anamtafuta Hezbollah, mbona umelala sana, we hujui kama week mbili za nyuma Hezbollah kawamaliza wanajeshi karibu 18 wa Israel na Israel anaogopa hata kujibu pigo.

Punguza uwongo usidhani wote tunadanganywa na wajinga afu tunakubali. Karibu utaona Hezbollah na Iran na Syria wanazama Tela Aviv kupitia Golan, na hicho ndio kinamtia wehu Natanyahu na Ya'alon.
 
Last edited by a moderator:
Israel ana kichwa kigumu. Obama ana nia nzuri ya kusaidia kuleta amani kati yake na majirani zake wa palestine, Syria, Iran sasa hivi ameanza ugomvi na Uturuki.

Wakati huo huo anategemea Marekani amsaidie hali ikiwa mbaya.

Mmarekani atamchoka maana hasikii.
 
Huijui Israel siku ukimsiakia Mmarekani anamtenga Israel jua kifo cha mmarekani kitakuwa kimekaribia.
 
The Casino Republic
The Real Ruler of Israel: Sheldon Adelson
by URI AVNERY
Who is the ruler of Israel?
Prime Minister Binyamin Netanyahu, of course.
WRONG.

The real ruler of Israel is one Sheldon Adelson, 81, American Jew, Casino king, who was rated as the world's tenth richest person, worth 37.2 billion dollars at the latest count. But who is counting?

Besides his casinos in Las Vegas, Pennsylvania, Macao and Singapore, he owns the US Republican party and, lately, both Houses of the US Congress.
He also owns Binyamin Netanyahu.

Adelson's connection with Israel is personal. On a blind date, he fell in love with an Israeli woman.

Miriam Farbstein was born in Haifa, attended a prestigious high school, did her army service in the Israeli institute which deals with bacteriological warfare and is a multifaceted scientist. After one of her sons (from her first marriage) died of an overdose, she is devoted to the fight against drugs, especially cannabis.

Both Adelsons are fanatical supporters of Israel. Not just any Israel, but a rightist, supremacist, arrogant, violent, expansionist, annexationist, non-compromising, colonialist Israel.

In "Bibi" Netanyahu they found their man. Through Netanyahu they hope to rule Israel as their private fief.

To assure this, they did an extraordinary thing: they founded an Israeli newspaper, solely devoted to the furthering of the interests of Binyamin Netanyahu. Not of the Likud, not of a specific policy, but of Netanyahu personally.

Years ago I invented a Hebrew word for papers which are distributed for nothing. "Hinamon" translates, roughly, into "ragratis" or "gratissue" and was intended to denigrate. But I did not dream of a monster like "Israel Hayom" ("Israel Today") – a paper with unlimited funds, distributed every day for nothing in the streets and malls all over the country by hundreds, perhaps thousands of paid young persons.

Israelis love getting something for nothing. Israel Hayom is now the daily paper with the widest distribution in Israel. It drains readers and advertising revenue from its only competitor – Yedioth Ahronoth ("Latest News"), which held this title until then.

Yedioth reacted furiously. It became a ferocious enemy of Netanyahu. Yossi Werter, a commentator of the center-left Haaretz (which has a far lower circulation) even believes that the present election boils down to a contest between the two papers.

That is vastly exaggerated. Judged by political and social content, there is little to differentiate the two. Both are super-patriotic, war-mongering and rightist. That is the journalistic recipe for attracting the masses anywhere in the world.

Yedioth is owned by the Moses family, a business-minded clan. The present, third-generation publisher is Arnon ("Noni") Moses, the publicity-shy boss of a large economic empire based on the paper. The paper serves his business interests, but he has no special political interests.
Adelson is unique.

In Israel, betting is forbidden by law. We have no casinos, and secret gambling dens are raided by the police. In our early youth we were taught that casino moguls are bad people, almost like arms merchants. They take the money off poor addicted people, throwing them into despair, even suicide. See Dostoyevsky.

Israelis read Israel Hayom (it's something for nothing, after all), but they don't necessarily like the man and his methods. So some members of the Knesset were encouraged to enter a bill forbidding gratis newspapers altogether.

Netanyahu and the Likud party did everything to obstruct this bill. But in the preliminary vote (necessary for private members' bills) they were beaten in an amazing way. Even members of Netanyahu's governing coalition voted for it. The cameras caught Netanyahu literally running in the Knesset plenum hall to gain his seat before the voting started.

The vote was 43 to 23. Almost half the Likud members absented themselves. Foreign Minister Avigdor Lieberman and his party voted for the bill. So did ministers Ya'ir Lapid and Tzipi Livni.

From the preliminary vote to the final adoption, such a bill has to pass several stages. There was plenty of time to bury it in one of the committees. But Netanyahu was furious. A few days after the vote, he dismissed Lapid and Livni from the cabinet, causing the government coalition to break up and the Knesset to disperse.

Why did Netanyahu do such a foolish thing less then half way through his (third) term of office? There can be only one logical explanation: he was ordered to do so by Adelson, in order to prevent the adoption of the law.

If so, Adelson is now our chief lawmaker. Perhaps he is also our chief government-maker.

Money plays an ever-increasing role in politics. Election propaganda is made on television, which is very expensive. Both in Israel and the US, legal and illegal funds pour into the campaign, directly and indirectly. Corruption is abetted or tolerated by the courts. The very rich (known euphemistically in America as the "wealthy") exercise undue influence.

In the last US presidential elections, Adelson poured rivers of dollars into the contest. He supported Newt Gingrich, and then Mitt Romney, with huge sums of money. In vain. Perhaps Americans don't like to be ruled by captains of casinos.

For the next US presidential elections, Adelson has started early. He has summoned to his Las Vegas casino HQ all leading Republican candidates, to grill them on their allegiance to him – and to Netanyahu. Nobody dared to refuse the summons. Would a Roman senator refuse the summons of Caesar?
In Israel, such rituals are superfluous. The Adelsons – both Miri and Sheldon – know who their man is.

The Israel Hayom newspaper is, of course, a big propaganda machine, totally devoted to the re-election of Netanyahu. All quite legal. In a democracy, who can tell a newspaper whom to support? We are still a democracy, for God's sake!

It seems to be strange for a country to allow a foreigner, who never lived in the country, to have such enormous power over its future, indeed, over its very existence.

That's where Zionism comes in. According to the Zionist creed, Israel is the state of the Jews, all the Jews. Every Jew in the world belongs to Israel, even if temporarily residing somewhere else. A few days ago, Netanyahu publicly claimed to represent not just the State of Israel but also the entire "Jewish People". No need to ask them.

Accordingly, Adelson is not really a foreigner. He is one of us. True, he cannot vote in Israel, though his wife probably can. But many people, including himself, believe that he, being a Jew, has a perfect right to interfere in our affairs and dominate our lives.

For example, the appointment of our ambassador in the US. Ron Dermer is an American, born in Miami, who was active in Republican politics. To appoint an American functionary of the Republican Party as ambassador of Israel to a Democratic administration may seem strange. Not so strange if Netanyahu acted under the orders of Sheldon Adelson.

It was Adelson who prepared the witches' brew that is now endangering Israel's lifeline to Washington. His stooge, Dermer, induced the Republicans in Congress – all of them dependent on Adelson's largesse or hoping to be so – to invite Netanyahu to give an anti-Obama speech before both Houses.
While this intrigue was in preparation, Dermer met with John Kerry but did not tell him of Netanyahu's coming. Neither did Netanyahu inform President Obama, who, in a fury, announced that he would not meet with the Prime Minister.

From the point of view of Israel's vital interests, it is sheer madness to provoke the President of the United States of America, who controls American's flow of arms to Israel and the American veto power in the UN. But from the point of view of Adelson, who wants to elect a Republican president in 2016, it makes sense. He has already threatened to invest unlimited sums of money to prevent the reelection of any Senator or Representative who is absent from Netanyahu's speech.

We are nearing open warfare between the Government of Israel and the President of the United States.
Is someone playing roulette with our future?
 

Mtu kakuwekea link, tena za kueleweka,eti unadai huziamini,kama hujui jpost ni gazeti la jerusalem post.
 
Eti huwa husomi thread zangu, sa mbona unazijibu kama huzisomi? Naona unaongea uwongo mtupu. Cha kushangaza mkipewa ukweli manjidai hamsomi, kumbe mnasoma namnaumia sana napo wapa ukweli.
 
Mkuu lile lengo la iran kuifuta Israel isiwepo duniani ndio amani? Hivyo Israel itulie iangamizwe! Unachekesha bro!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu lile lengo la iran kuifuta Israel isiwepo duniani ndio amani? Hivyo Israel itulie iangamizwe! Unachekesha bro!
 
Last edited by a moderator:
Unajua wengi mnaficha ukweli wa hili tatizo! Jee unakubaliana na mimi kwamba tatizo hili ni la Imani? allah amesha wafunulia waumini waislamu woote duniani kwamba; adui yao mkubwa ni wayahudi! Na muumin anaamini hivyo ili apate thawab, na pepo! Suratul tawba:30 msemaji hapo anamuomba Mungu awaangamize Wayahudi! Huoni hapo kauli ya iran ni mwangwi tekelezi? Hizo verse nazo ni uongo?? Hata ingekuwa wewe Nonda ungejikalia kimya uangamizwe wewe na kizazi chako!? Unatuletea link; basi acha tuamini link hizo allah ni muongo mkubwa! Sawa mukulu0†7!
 
Last edited by a moderator:

Baada ya kupata ushahidi kuwa kauli unayoirudia rudia si ukweli. Umeamua kuanza kuweweseka.
Natumai baada ya kuitizama video hii utaona jinsi usivyoelewa mambo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…