Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,423
- 289,616
Ambayo ipo vipi kwa Mujibu wao ?Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
AmenKila la kheri
Endelea kubaki JF kwa taarifa zaidiAmbayo ipo vipi kwa Mujibu wao ?
umemaliza kila kituSafi kuona kuwa chama cha CDU Germany kina mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania mheshimiwa Joseph Chialo.
View attachment 2428012
Picha : Mwanasiasa wa Ujerumani kupitia chama cha CDU mheshimiwa Joseph Chialo.
CDU kinaamini katika siasa za usawa na haki hivyo kitaweza kushawishi matokeo chanya yatokee Tanzania kupitia kuunga mkono agenda za CHADEMA.
Na kazi ya chama chochote cha siasa ni kushawishi agenda na sera kwa hoja, CHADEMA inafanya kazi hiyo vyema kuliko vyama vingine vya siasa na kukipita chama dola kikongwe kilichokosa mvuto kwa kunukuu maneno ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa kuwa CCM imechoka na kukosa mvuto wa ushawishi
Huyo mwache aende BuzebazebaSiku nyingine mumchukue na Abdul Nondo safarini
Haya ndio mambo sasa unayopaswa kutuletea na sio petty issues za kutaka kijana maskini Majaliwa apokwe zawadi na nafasi ya jeshi alivyotunukiwa.Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906
Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
Kila hoja ina eneo lakeHaya ndio mambo sasa unayopaswa kutuletea na sio petty issues za kutaka kijana maskini Majaliwa apokwe zawadi na nafasi ya jeshi alivyotunukiwa.
Kila hoja ina eneo lake
Wako kwa mabwana zaoPichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906
Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
Ok eti Dakitari msukuma anasema yeye siyo chawa.Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .