R Rogathefreshfarms Member Joined Aug 17, 2017 Posts 5 Reaction score 5 Nov 15, 2017 #1 Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa Ziara Dairy Farm TZ Forum Attachments IMG-20171111-WA0025.jpg 135.7 KB · Views: 102
Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa Ziara Dairy Farm TZ Forum
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,837 Nov 15, 2017 #2 weka namba yako hapa au link ya whatsapp kila mtu aingie anavyojua yeye maana watu hawawezi kutoa namba kwa lengo la kuendelea kuficha ID zao
weka namba yako hapa au link ya whatsapp kila mtu aingie anavyojua yeye maana watu hawawezi kutoa namba kwa lengo la kuendelea kuficha ID zao
Mweusi Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 332 Reaction score 322 Nov 15, 2017 #4 MUNAWAR MKUBWA said: weka namba yako hapa au link ya whatsapp kila mtu aingie anavyojua yeye maana watu hawawezi kutoa namba kwa lengo la kuendelea kuficha ID zao Click to expand... Umenena point kiongozi.
MUNAWAR MKUBWA said: weka namba yako hapa au link ya whatsapp kila mtu aingie anavyojua yeye maana watu hawawezi kutoa namba kwa lengo la kuendelea kuficha ID zao Click to expand... Umenena point kiongozi.
S SIJOMA Member Joined Nov 23, 2014 Posts 17 Reaction score 3 Nov 15, 2017 #5 Tunajiungaje sasa mkuu? Tuwwkee namna ya kujiunga pls
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Nov 16, 2017 #6 Mbona kama kakimbia Uzi au unadaiwa na TRA?