Activist93
Member
- Jun 30, 2019
- 19
- 13
Wewe wanakuhusu nini, si wanamtazama kiongozi wao.Hao wananchi shughuli zao zimesimama.
Hata bunge live mlipaswa kujibu hivi.Wewe wanakuhusu nini, si wanamtazama kiongozi wao.
Zimekaa zinakunywa soda.Hao wananchi shughuli zao zimesimama.
Kwani M7 amekuja tena chato?
Daah sikua nimefahamu aisee.Ndio
Hilo jina la Yoel ndivyo Yoweri inavyotamkwa na kuandikwa kisukuma?Hao wananchi shughuli zao zimesimama.