ZFA yaituhumu TFF

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Shirikisho la soka la Zanzibar (ZFA) limelituhumu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa linaisahau Zanzibar na wanafanya mambo yao Kimya kimya.
 
Shirikisho la soka la Zanzibar (ZFA) limelituhumu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa linaisahau Zanzibar na wanafanya mambo yao Kimya kimya.

hii nchi jirani shida sana au wanataka madrid nayo iende kule
 
hii nchi jirani shida sana au wanataka madrid nayo iende kule
Malinzi na viongozi wenzake wanazipiga hela zote za kutoka fifa bila kuwajali wenzao wa zfa na ndio maana hawaishi kulalama!!!
 
Malinzi na viongozi wenzake wanazipiga hela zote za kutoka fifa bila kuwajali wenzao wa zfa na ndio maana hawaishi kulalama!!!

tatzo hao wazanzibar hawajitambui wakat sie bara tunawasaidia kutengeneza katiba wao wanatukanana
 
Rais mtarajiwa Mizengo Pinda ameshawaambia kuwa Zanzibar sio nchi, sasa TFF itafanyaje kazi sambamba na chama cha soka cha mkoa?
 
Kumbe kule Dodoma kunatengenezwa Katiba ya Zanzibar?

kwan hilo halipo katika katiba ya muungano au ndo kujitoa ufahamu. unafikiri wakikubali kupitisha serikali mbili wataendelea kulia hivyo hivyo
 
kwan hilo halipo katika katiba ya muungano au ndo kujitoa ufahamu. unafikiri wakikubali kupitisha serikali mbili wataendelea kulia hivyo hivyo
Kujitoa ufahamu ni kutojibu hoja : Katiba inayotungwa Dodoma ni ya Zanzibar?
 
Hili suala la muungano ni danganya toto tu hadi kwenye michezo...

Nchi moja halafu ligi mbili tofauti, vyama vya michezo viwili tofauti lol...

Inayotambulika FIFA ni TFF na wala si ZFA...teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…