Mm nikiweka bei hapa naweka bei ya dukani mtendeni zanzibar, sio kila mteja anataka asafirishiwe, mwengn ana ndugu yake huku anaweza kumuagiza akaja kumchukulia, so ukitaka usafirishiwe ndo ndo tunajumlisha na gharama ya usafiri ambazo ni pamoja na kodi