Zelensky: Counteroffensive isn't going well

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Zele amekiri waziwazi wakati akiohojiwa BBC ya kuwa mashambulizi ya jeshi la Ukraine dhidi ya vikosi vya Russia hajafanikiwa kama walivyotarajia.

"Progress has been slower than desired "
Anaongeza zelensky .


 
As long as wana capture vijiji na miji iliyoporwa hata kama ni kwa pole pole hakuna shida, kumbuka juzi juz Jeshi la Ukraine walipiga kazi mpaka wakaingia ardhi ya Romania wakaambiwa huku siko kwenu tena rudini, urusi hamna kitu ni kelele tu

na Good News ni kwamba sasa Zelensky anatafuta hela na tayari hela imepatikana $ bil 514 ya kuyajenga upya majengo yaliyoharibiwa na vamizi ili kurudisha Ukraine halisi ama bora zaidi, ni habari njema sana
 
Inaaminika mpaka sasa tangu kuanza kwa vita February 2022 yapata wanajeshi laki tatu na nusu (350,000) wameshapoteza maisha katika mzozo huu mbaya zaidi kuwahi kutokea ulaya tangu kuisha kwa vita ta pili ya dunia 1945.

"We turned Ukraine into a
slaughterhouse that killed 350,000
young Ukrainians.

They lie about how many people died.

They hide it from us.

The Pentagon is hiding this from the
American people.

Ukraine hides it from its people but 350
thousand people died."- Robert Kennedy Jr
 
Ukweli unafichwa.

Raia wa Ukraine wanaangamia kila kuchwao huku Urusi ikizidi kuitwaa ardhi ya Ukraine.

Sasa jiulize, hiyo USD 50 billions itajenga Ukraine ipi kama taifa zima litatwaliwa kimabavu!?.



 
Ukweli unafichwa.

Raia wa Ukraine wanaangamia kila kuchwao huku Urusi ikizidi kuitwaa ardhi ya Ukraine.

Sasa jiulize, hiyo USD 50 billions itajenga Ukraine ipi kama taifa zima litatwaliwa kimabavu!?.
Ukiona sasa Ukraine wanafanya hesabu kujenga upya miji yao jua vita imeisha na russia hana nguvu tena baada ya huko pembeni alikobaki nako anaendelea kufurushwa kama paka mwizi, $514 bilioni sio 50
 
Inakuwaje nchi zaidi ya 30 wameshindwa kumtoa Uikrane?
 
Msichokijua Pro -US lead NATO ni kuwa zelensky na genge lake la Wahuni wachache wa Kiev wanafanya a large scale money laundering operation in the whole history of war in the world.
Ukiona sasa Ukraine wanafanya hesabu kujenga upya miji yao jua vita imeisha na russia hana nguvu tena baada ya huko pembeni alikobaki nako anaendelea kufurushwa kama paka mwizi, $514 bilioni sio 50
 
Kila anapoongea unajua ni mpigaji
Sijui account inasoma ngapi ila naona hata manager wa Bank anampenda
 
Zele amekiri waziwazi wakati akiohojiwa BBC ya kuwa mashambulizi ya jeshi la Ukraine dhidi ya vikosi vya Russia hajafanikiwa kama walivyotarajia.

"Progress has been slower than desired "
Anaongeza zelensky .


View attachment 2665120
Hv unajuwa kiilugha cha malkia? Tafuta mkaliman mapema [emoji23] [emoji23] slow ndo kutokufanikiwa?
 
Inakuwaje nchi zaidi ya 30 wameshindwa kumtoa Uikrane?
Hizo nchi 30 zimetoa michango tu kama vile wewe unavyochangiwa ukipata msiba.
Si kwamba Eti hizo nchi 30 zimejitoa kikamilifu kwa 100% kuikabili Russia, yaani UK,US,FRANCE, GERMANY,CANADA,na nchi zingine 25 ziamue kupigana na Russia 100%,jamaa yako Putin ataikimbia nchi na kuomba hifadhi China.
Panua ubongo wako,weka pembeni ushabiki,uishi ktk uhalisia
 
Kipi kinachowafanya wasiingie kijeshi NATO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…