zawadi yangu kwa utafiti!

Jema hulipwa kwa jema pia,baada ya kunipa zawadi ya gari nami namuahidi utafiti kumpa pikipiki hii kama zawadi siku ya harusi yake!!

Zamaulid hii zawadi nzuri sana hakika nitaiweka sehemu nzuri ikae muda wote....siku ya harusi yangu nitaikumbuka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…