Zawadi kwa wanandoa

wao watupe socks na ss tuwape nn?wanachosahau sana
 
Nzuri mkuu,
kAMA KAWAIDA YANGU HUWA NAKUKUBALI...
Ila napendekeza Mnunulie Asprin pichu...boxer...kali kamwe atakuwa akikuangalia anafurahi tuuu wakati wote hata kama haupo...
 
kAMA KAWAIDA YANGU HUWA NAKUKUBALI...
Ila napendekeza Mnunulie Asprin pichu...boxer...kali kamwe atakuwa akikuangalia anafurahi tuuu wakati wote hata kama haupo...
Ndoa ina mgogoro tunahitaji katiba mpya Asprin
 
Umenifumba ujue hapo....unamaanisha Ndoaa...Au unamaanisha Nchi..maanake wewe nae huwa na mafumbo yako...
Usije ukanifanya nianze kukumendea bure.....
 
% kubwa ya wanawake huwa hawaridhiki na wepesi kusahau hata ungemletea zawadi gani,bora watupe wao hizo zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…