Zawadi kwa wanandoa

Wanandoa wakishazoeana mara nyingi huwa wanachukuliana poa tu yaani kusingekuwa na tendo la ndoa tungewaita dada na kaka wanaolala pamoja
Kama sisi... huyu shemeji yako Sky Eclat hapatagi tabu kuachia ushuzi mbele yangu. Kipindi namchumbia nilikuwa naamini kabisa huyu binti wa kitanga huwa hajambi.
 
Zawadi kwa wapendanao ni mbolea ya kukuza penzi lenu,
Sio lazima ununue vitu vya garama

MF
☆waeza mnunulia umpendae pipi ya bigbom,wakati mnaenda kulala ukamwambia ooh hon take your gift,akiipokea kitakachoendelea ni[emoji131]
 
Inawezekana kununua pen holder kila akiiangalia ofisini anakukumbuka
 
wengine hawakupi hasa wanaume wakishakuoa wanakutesa kabisa wanakuona wewe ni dekio la nyumba sio ndani ila nje anahonga hadi magari.
ila anapenda umpe yeye zawadi sio yeye akupe .
ukimwambia anakuambia unataka pesa .
unapenda pesa unapenda vitu vya gharama.
 
Mpe tu zawadi wala usiache, kuna siku ataelewa umuhimu wako kwake
 
Ahsante Dada..nitaanza mnunulia shemejio vizawadi...[emoji23][emoji23]
 
Wanandoa wakishazoeana mara nyingi huwa wanachukuliana poa tu yaani kusingekuwa na tendo la ndoa tungewaita dada na kaka wanaolala pamoja
Kwa kweli

Yaan huu uzi ndo umenikumbusha kumbe kuna mambo ya zawadi, teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…