Hahaha sasa hapo katika limbwataa ..... Limbwata la kurogana au kutoa mambo na mapenzi mubassharaaaUmesema vyema, mambo mengine ambayo nafikiri yanaweza kuzidisha mapenzi ndani ya ndoa ni;-
Ibada
Pesa
Limbwata n.k
Nb:- Ili hayo mapenzi yanayozidishwa Yadumu inahitajika Uvumilivu na Kuheshimiana.
Isn't it too late to catch the train? Huko alipo alikua amekaa tu anakusubiria wewe uache pombe!!!?Nilipokuwa na ex-wangu kila nikitoka lazima nimuage na kiss, Nikirudi hunikaribisha kwa kiss. Akiwa jikoni hupendelea kumkumbatia na kumpiga kofi la makalio, Wakati wa kuangalia Tv au Movies hulala kifuani kwangu. Na mara nyingi anapenda chocolate kwahio hubadilisha aina mbali mbali za chocolate. Leo ndio naujua umuhimu wake baada ya kuniacha kwa kupenda pombe, Wewe mtoto wa Kispanish mimi tozi25 bado nakupenda mwenzio na pombe nimeshawacha.
Habari zenu : kwa wale wote ambao wapo kwenye ndoa licha ya mambo mengi ambayo yatazidisha mapenzi lakini ZAWADI ni kitu muhimmu
Jizoweshe kumchukulia mkeo Zawadi unaporudi kazini : ukitoka tu Mtumie msg au simu umuulize Leo nikuchukulie kitu Zawadi gani ?? Ikiwa unatabia io basi daima utazidisha mapenzi katika ndoa
Je mambo gani mengine ambayo unafikiria yanaweza kuzidisha mapenzi ndani ya ndoa ??? Karibu mchango wako
Nadhani Zawadi ' pekee ' inayomfaa Mpenzi wako ni ' Mkuyenge / Uume ' uliotukuka tu na hivyo vitu vingine ni ' mbwembwe '. Mpe Mpenzi wako ' zawadi ' halafu labda uwe na ' Mkuyenge Bamia ' au ' humtoshelezi ' ipasavyo Kitandani ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko.