yaani ilikua hatareeee kuanzia hayo mapokezi yake mhh ngoja watizamaji tuendelee kutizama tyuuuuuu..ila mbali na kutotoa 3 kids huyu mama bado anaonekana M"bichiiiiiiiiii
Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.
Hunizidi mimi, l cant wait. Alafu huyu mmama, anapoyafanya haya madudu wanae hawapo ? Au haishi nao nn. Namshukuru Mungu kwa kunipa mama nilie nae. Am forever grateful!