mimi huyu huyu
Member
- Feb 8, 2015
- 88
- 34
na bado, mtapewa KB sa hivi.
Dah! Mi amenionea tu. . . Sijawahi kucomment hata sku moja. . . All i did was double tapping
My dear, double tapping sindio ku like kwenyewe?Na hilo ndo kosa lako...ungekuwa hata una like basi😂
nikishafurahi tu, nitakuambia kitu...Heee! Makubwa haya...
Ukagawe kabssa tgo UG.
Am goin to assume U r not insulting Me!! . . . Coz otherwise, U will be creating an enemy for no reason. . . I DO hold grudge for a looooong time
Habari ndugu wana JF, nimeanzisha uzi huu nikiamini huenda ZARI akauona anitatulie tatizo langu
Mimi nilikuwa follower wako mzuri tu kule instagram. . Nilichokuwa nikifanya ni ku double tap tu kwenye kila picha unayoweka. . . Na wala sipo team yoyote katika zile team zako na yule mtoto wa balozi.. .Yani Am completely neutral katika ishu hii. . .All I was doing is enjoying ur beauty
Sasa nashangaa juzi kati apa nakuta nimechezea block moja matata sana ata sjui kosa langu nini
Zari weeeeeeeee! Unanitesa mwenziio, dont leave me alone pls. .
Wana JF nisaidieni kuniombea kwa huyu mdada. . Ani PM nimpe username yangu aniblokue. . .
Mmmmh,can't wait!nikishafurahi tu, nitakuambia kitu...
Sa' hizi bado nimenuna bhana...Mmmmh,can't wait!
Haya basi nangoja hadi ufurahi!Sa' hizi bado nimenuna bhana...
Wewe ni stalker.Mbona umeumia hivyo utafikiri yesu kakutosa.Get Zoloft and propofol
Mi nilichamba rayc kuhusu mkorogo wake akaniblock,nikamchamba wema akaniblock nikafungua nyingine hhhhhaaaaa wala hata sikuumia